Friday, February 28, 2014

AJALI YA BASI LAGONGANA NA TRENI SINGIDA


Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Basi hilo ambalo halikuweza kujulikana namba zake za usajili kutokana na kuwa limeharibiwa vibaya
Tukio hilo lilitokea baada ya dereva wa basi hilo kukosa mwelekeo baada ya kupita kwenye reli ya treni

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukiokinasema kuwa watu wanne wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni.
Chanzo.


Basi la bunda expres likiwa limejikita pembeni mwa reli ya treni pembeni wakiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishuhudia ajali hiyo

wananchi wa eneo hilo wakishuhudia ajali ya basi katika enehilo wakiwemo madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda.


HABARI,
NA PETER DAUD PANJA

0 comments:

Post a Comment