Tuesday, February 25, 2014

ziwa natron



ziwa natron laonekana kuwa na ndege wa asili wengi sana wakiwa ni vivutio vikubwa katika utali wa ndan wa nchi yetu hinyo ni vinzuri watanzania tujivunie utalii wetu na kuweza kuhifadhi utalli wetu kkatika hali ya kushsngaza ndege hao wamekuwa kivutio kikubwa sana katika chi yetu na kutuletea kipato cha nchi katika nchi zenye utajiri mkubwa kwa kuwa na utalli wa kimataifa lake natron ni ziwa maarufu katika nchi yetu
picha na juma o suleyeman

0 comments:

Post a Comment