|
Leo ni Law Day, tunamsubiri mgeni
Rasmi |
|
Wanasheria wakimsubiri Mgeni
Rasmi |
|
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya
Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akiongoza Wanasheria katika maadhimisho ya
siku ya
Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu
kanda ya Moshi. |
|
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya
Moshi, Jaji Aisha Nyeyere (kulia),
akikagua Gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya
Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu
kanda ya Moshi. |
|
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya
Moshi, Jaji Aisha Nyeyere,
akijiandaa kukagua gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya
Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu
kanda ya Moshi. |
|
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya
Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akijiandaa kukagua gwaride la Heshima
katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo
katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
|
|
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya
Moshi, Jaji Aisha Nyeyere (kushoto) akiwa na Kamanda wa Jeshi la
Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz katika maadhimisho ya siku ya
Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu
kanda ya Moshi. |
|
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama,
(kulia) ambaye ni mgeni mwalikwa katika |
|
Siku ya Sheria tumependazaje
leo |
|
Baadhi ya Mawakili Mashuhuri katika
maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika
viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi. |
|
Kamishna wa kamati ya Usuluhishi Taifa,
Japhary Ally (kulia) akiwa na Mawakili wenzake katika maadhimisho ya
siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya
Mahakama Kuu kanda ya Moshi. |
Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja
na ma-bloggers wakubwa wa Tanzania wakati wa kiadhimisha sherehe za
miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha hii
imepigwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana hapo chini...
Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM akichukua taswira.
Original from:
http://googlehabari.blogspot.com/2014/02/raisi-jakaya-mrisho-kikwete-apiga-na.htmlCopyright EXEIdeas - All Rights Reserved
0 comments:
Post a Comment