Monday, February 3, 2014

ONA WANAFUNZI WA ST. ANNE MARIE BONGO WALIVYOHARIBU MALI ZA SHULE YAO ONA HAPA LIVE!!

 Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya wanafunzi kuvamia maeneo mbalimbali ya shule hiyo alfajiri ya kuamkia leo majira ya saa nane usiku na kufanya uiharibifu hio na kuvunja vinja vioo vya majengo na magari.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura wakikagua uharibifu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam leo.
 Mabasi ya shule na magari mengine yapatayo 17 yamevinjwa vioo na kuharibiwa vibaya.
 Maisha ya sasa ni ya sayansi na teknolojia na hii ndio moja ya maabara ya teknolojia hiyo ambayo imeharibiwa vibaya na wanafunzi hao.
 DC wa Kinondoni akizungumza na walimu wa shule na viongozi wa shule hiyo.
 Walimu wakimsikiliza DC wa Kinondoni
Viongozi wa wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya.
Habari Motomoto : SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE YA TAREHE 4/2/2014 Tuesday, February 04, 2014 BUSTANI YA HABARI Wallpapers Contact Us Simulizi Michezo Mambo adimu Scholarship Makala Video mbalimbali Habari Siasa Dondoo Home CONTACTS SIMULIZI MASHAIRI WALLPAPERS LIGI KUU BARA A'&O' LEVEL VITABU 03 February 2014 SOMA HOTUBA YA MH RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOISOMA KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA 37 YA CCM 03 February 2014 HII NDIO POST YA JOYCE KIRIA WA CHADEMA ILIYOZUA MJADALA MKUBWA FACEBOOK 03 February 2014 NMB NAYO YAJITOKEZA KUTOA MISAADA KWA WAHANGA WA UPEPO IRINGA 03 February 2014 KIGOGO ATUPIWA VYOMBO VYAKE NJE YA NYUMBA NA KAMPUNI YA UDALALI 03 February 2014 WANAFUNZI WA ST ANN MARIE ACADEMY WAFANYA VURUGU NA KUHARIBU MALI ZA SHULE KINONDONI,DAR ES SALAAM 03 February 2014 PATA TASWIRA KATIKA PICHA YA VURUGU ZILIZOFANYIKA KATIKA MASJID MUSA HUKO MOMBASA 03 February 2014 RAISI DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEKANUSHA MADAI YA KUPITISHA KIINUA MGONGO KIPYA MILIONI 160 KWA WABUNGE BAADALA YA MILIONI 43 03 February 2014 JIFUNZE KUJITIBU UGONJWA WA KISUKARI KWA NJIA YA ASILI 03 February 2014 SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE YA TAREHE 4/2/2014 03 February 2014 PATA TAARIFA KAMILI KUHUSU KADHIA YA VIKOSI VYA USALAMA KUVAMIA MSIKITI HUKO MOMBASA 03 February 2014 KUWA WA PEKEE KWA KUMTAKIA RAFIKIA YAKO USIKU MWEMA NA ASUBUHI NJEMA KWA KICHINA 03 February 2014 MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA MJINI TUNDUMA 03 February 2014 SOMA HOTUBA YA MH RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOISOMA KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA 37 YA CCM 03 February 2014 HII NDIO POST YA JOYCE KIRIA WA CHADEMA ILIYOZUA MJADALA MKUBWA FACEBOOK 03 February 2014 NMB NAYO YAJITOKEZA KUTOA MISAADA KWA WAHANGA WA UPEPO IRINGA 03 February 2014 KIGOGO ATUPIWA VYOMBO VYAKE NJE YA NYUMBA NA KAMPUNI YA UDALALI 03 February 2014 WANAFUNZI WA ST ANN MARIE ACADEMY WAFANYA VURUGU NA KUHARIBU MALI ZA SHULE KINONDONI,DAR ES SALAAM 03 February 2014 PATA TASWIRA KATIKA PICHA YA VURUGU ZILIZOFANYIKA KATIKA MASJID MUSA HUKO MOMBASA 03 February 2014 RAISI DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEKANUSHA MADAI YA KUPITISHA KIINUA MGONGO KIPYA MILIONI 160 KWA WABUNGE BAADALA YA MILIONI 43 03 February 2014 JIFUNZE KUJITIBU UGONJWA WA KISUKARI KWA NJIA YA ASILI Home » habari za kitaifa » WANAFUNZI WA ST ANN MARIE ACADEMY WAFANYA VURUGU NA KUHARIBU MALI ZA SHULE KINONDONI,DAR ES SALAAM WANAFUNZI WA ST ANN MARIE ACADEMY WAFANYA VURUGU NA KUHARIBU MALI ZA SHULE KINONDONI,DAR ES SALAAM Written By umar makoo on Monday, February 3, 2014 | 11:11 PM Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya wanafunzi kuvamia maeneo mbalimbali ya shule hiyo alajiri ya kuamkia leo majira ya saa nane usiku na kufanya uiharibifu hio na kuvunja vinja vioo vya majengo na magari. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura wakikagua uharibufu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam leo. Mabasi ya shule na magari mengine yapatayo 17 yamevinjwa vioo na kuharibiwa vibaya. Maisha ya sasa ni ya sayansi na teknolojia na hii ndio moja ya maabara ya teknolojia hiyo ambayo imeharibiwa vibaya na wanafunzi hao. DC wa Kinondoni akizungumza na walimu wa shule na viongozi wa shule hiyo. Walimu wakimsikiliza DC wa Kinondoni Viongozi wa wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya. Kwa hisani ya father kidevu Blog BannerFans.com Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by BUSTANI YA HABARI Enhanced by OMARI MAKOO Share this article : Related articles WAZIRI WA TANZANIA PAMOJA ABIRIA 17 WANUSURIKA KUFA BAADA YA NDEGE KUFELI BREKI RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE ALISOMA SEMINARY KWA KUTUMIA JINA LA SAMWEL LUHANGA MAAFA YALITIKSA TAIFA LA TANZANIA;MOROGORO MAFURIKO,SINGIDA NA MTWARA AJALI SHUHUDIA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LILILO BOMOLEWA NA MAFURIKO MKOANI MOROGORO RAISI DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEKANUSHA MADAI YA KUPITISHA KIINUA MGONGO KIPYA MILIONI 160 KWA WABUNGE BAADALA YA MILIONI 43 MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA MJINI TUNDUMA Labels: habari za kitaifa 0 comments: Speak up your mind Tell us what you're thinking... ! Older Post Home UNGANA NASI TWITTER HABARI ZILIZOTAMBA BOFYA HAPA KUTIZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 HII NDIO LIST MPYA,YAANI TOP 10 YA WATU MATAJIRI NCHINI TANZANIA MAHAKAMA YA KENYA YAMFUNDISHA ADABU MCHINA ALIYEKAMATWA NA PEMBE ZA NDOVU RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE ALISOMA SEMINARY KWA KUTUMIA JINA LA SAMWEL LUHANGA SIMULIZI:STORY YA KUSISIMUA KUHUSU KIJANA ZAMUNDA SHUHUDIA PICHA YA GARI LA KIFAHARI AMBALO HALIJAWAHI TUA TANZANIA TIZAMA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU KWA KIDATO CHA NNE NA SITA HAPA HII NDIO POST YA JOYCE KIRIA WA CHADEMA ILIYOZUA MJADALA MKUBWA FACEBOOK JUAN MATA ATUA MANCHESTER UNITED KWA HELIKOPTA,WACHEZAJI WA MAN U WAJITOKEZA KUMLAKI Search This Blog FAHARI YA TANZANIA Republic of Tanzania human clock Subscribe To Posts Comments Follow by Email Google+ Followers Translate je wewe ni mjanja??jiunge sasa..!! Home contacts usiyoyajua matukio designing Simulizi Support : Creating Website | Omari Makoo | Makoo web designer Proudly powered by Blogger Copyright © 2011. BUSTANI YA HABARI - All Rights Reserved makoo web designer Yote haya ni BUSTANI YA HABARI:The best designer - tengeneza blog kama hii hapa Template Design by BUSTANI YA HABARI Published by Omari Makoo

Original from: http://googlehabari.blogspot.com/2014/02/wanafunzi-wa-st-ann-marie-academy.html
Copyright EXEIdeas - All Rights Reserved

0 comments:

Post a Comment