Tuesday, February 25, 2014


USAFIRI NI CHA NGAMOTO KWA WANAFUNZI

Wanafunzi wa eneo la kwa morombo kata ya Arusha wameitaka halmashauri ya wilaya hiyo kutatuachangamoto ya usafiri wanayo kubaliana nayo pindi wanapokwenda shule.

Kauli hiyo imetolewa jana na mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari Majengo alipokua akizungumza na mwandishi wa habari katika kituo cha daladal kwa morombo.

''Kwa kweli usafiri kwa sisi wanafunzi umekua ni changamoto kubwa kutokana na daladala nyingi kukataa kutuchukua sisi wanafunzi kwa madai nauli zetu ni ndogo jambo ambalo serikali inatutegemea kwaviongoziwa kesho'' alisema Prosper Wilbard

'Aidha mmoja wa wazazi alisisitiza kua kitendo wanachofanyiwa wanafunzi huwa si sahihi kwaniwanafunzihuwa wanatakiwa wawahi shule ili kujidhatiti vyema katika masomo yao

Vilevile kwa upande wa madereva wa daladald wametoa lawama kwa halmashauri ya wilaya hiyo kutokana na kupanga bei ya nauli kwa wanafunzi kua ndogo jambo ambalo lina walazimu kuwaacha vituoni.



Wanafunzi wakijaribu kuingia kwenye daladala kwa nguvu.


Baadhi ya wanafunzi wakininginia kwenye lori wakati wakielekea shuleni



NA.SIA MINJA

0 comments:

Post a Comment