Tuesday, February 25, 2014

KAMPUNI YA MEGATRADE YATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU JIJINI ARUSHA

mfuko wa pensheni wa pspf

Get your Copy now

Get your Copy now

 

 


DSCF1881Wafanyakazi wa kampuni ya  Megatrade wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kituo cha New Paradise kilichopo kata ya sokoni 1 jijini Arusha,wakionekana wenye furaha kabisa baada ya kukabidhiwa msaada huo wa vyakula mbalimbaliDSCF1874Meneja mauzo na masoko Goodluck Kway wa kampuni ya Megatrade  Investment akiwa anamkabidhi mmoja wa watoto yatima  katoni ya soda (mwenye T-shirt ya blue) ikiwa ni sehemu ya kuwapa matumaini mapya watoto hao waishio katika mazingira magumu,msaada huo wa vyakula mbalimbali umetolewa kwenye kituo hicho.DSCF1869Sehemu ya baadhi ya vitu vilivyotolewa na kampuni ya Megatrade  Investment kupitia kinywaji chake cha K-vant Gin katika kituo cha watoto yatima cha New Paradise kilichopo kata ya sokoni 1 jijini Arusha 
 posted by;Mariam Hassan
 

0 comments:

Post a Comment