NICE MEDIA WORKS

KWA WAIMBAJI WA INJILI

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, February 28, 2014

MAREKANI KULETA UMEME AFRIKA

Marekani kuleta umeme Afrika

Wabunge nchini marekani wameidhinisha mpango wa kuleta umeme kwa zaidi ya watu millioni hamsini katika jangwa la Sahara baraniAfrika na hivyo basi kutoa fursa kwa mradi huo wa serikali ya Obama kuanza kutekelezwa.
Mswada huo uliopitishwa na kamati ya maswala ya kigeni nchini humo unalenga kujenga megawati elfu ishirini barani Afrika ifikiapo mwaka 2020 na kuwafikia watu elfu hamsini ambao wanaishi bila umeme.
Mpango huo ulitangazwa na rais Obama wakati wa ziara yake barani afrika mnamo mwezi juni mwaka jana.
Mswada huo utahitajika kupitishwa na bunge la wawakilishi pamoja na lile la sineti lakini hatua hiyo ya kamati ya maswala ya kigeni ni dhihirisho tosha kwamba unuangwa mkono na pande zote za kisiasa.

 Nguzo za umeme kutoka nchini Marekani kelekea Afrika
moja ya transfoma zilizo tengenezwa kwa umbo dogo ili kupooza umeme

moja ya viongozi wa Tanzania akikagua mradi huo wa umeme kushoto ni Dr. slaa na kulia wakiwa ni mafundi mitambo mmoja kijana kutoka Afrika na mwingine marekani

Habari na,
               PETER DAUD.

Benki ya Dunia 'yabana' msaada kwa UG

Wafadhili wakatiza misaada Uganda
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .
Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.
Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.
Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.
Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.
Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.
Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.

RAIS KIKWETE NA MAKAMU DKT BILALI WAWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIKUWA AZIR WA FEDHA DKT MGIMWA VIWANJA VYA KARIMJEE

RAIS KIKWETE NA MAKAMU DKT. BILAL WAWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. MGIMWA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. Mwili huo umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko
 Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga na kutoa heshima za mwisho zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. Mwili huo umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko
Mama Maria Nyerere, akitoa heshima za mwisho.

LAKE NATRON CLASS: WAFANYA KAZI WA SOKO LA KWA MROMBO WAILALAMIKIA S...

LAKE NATRON CLASS: WAFANYA KAZI WA SOKO LA KWA MROMBO WAILALAMIKIA S...: NA:MWAJUMA ABDUL WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KWA MROMBO JIJINI ARUSHA WAFANYA BIASHARA  WA SOKO LA KWA MROMBO JIJINI ARUSHA WAPO HA...

AJALI YA BASI LAGONGANA NA TRENI SINGIDA

Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Basi hilo ambalo halikuweza kujulikana namba zake za usajili kutokana na kuwa limeharibiwa vibaya
Tukio hilo lilitokea baada ya dereva wa basi hilo kukosa mwelekeo baada ya kupita kwenye reli ya treni

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukiokinasema kuwa watu wanne wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni.
Chanzo.

Basi la bunda expres likiwa limejikita pembeni mwa reli ya treni pembeni wakiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishuhudia ajali hiyo

wananchi wa eneo hilo wakishuhudia ajali ya basi katika enehilo wakiwemo madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda.

HABARI,
NA PETER DAUD PANJA

TFF YAITAKIA HERI YANGA MTANANGE AFRIKA NA AL AHLY!

YANGA_MJENGO 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaitakia kila la kheri yake kwenye mechi yake ya kwanza ya raundi ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly kutoka Misri.
Mechi hiyo inachezwa kesho (Machi 1 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia 10 kamili jioni. Timu hizo zitarudiana Machi 9 mwaka huu jijini Cairo, Misri.
Maandalizi ya mechi hiyo yamekamilika ambapo kamishna Abbas Sendyowa kutoka Uganda na waamuzi wanne kutoka Burundi tayari wapo nchini kwa ajili ya mechi hiyo inayotarajiwa kuvuta maelfu ya washabiki.
Milango yote katika uwanja huo itakuwa wazi, ukiwemo ule wa upande wa Uwanja wa Ndani (Indoor Stadium) wakati Barabara ya Taifa (Taifa Road) itafungwa kuanzia chuo cha DUCE hadi msikitini kuanzia saa 4 asubuhi.
Magari maalumu yenye sticker pekee ndiyo yatakayoruhusiwa kuingia uwanjani. Vilevile washabiki wanakumbushwa kuwa hawaruhusiwi kuingia uwanjani wakiwa na silaha au vifaa vyovyote vya chuma.

 Wakati huo huo Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameunda kamati ya watu tisa kuratibu maadhimisho ya miaka 50 tangu TFF ilipojiunga na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
TFF ilipata uanachama wa shirikisho hilo la kimataifa Oktoba 8, 1964 ambapo itaadhimisha miaka hiyo 50 kwa kufanya shughuli mbalimbali za mpira wa miguu.
Kamati hiyo itaongozwa na Mhariri Mtendaji wa kampuni ya magazeti ya Serikali, Gabriel Nderumaki wakati Katibu atakuwa Lina Kessy ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake (TWFA).
Wajumbe ni Ahmed Mgoyi, Hoyce Temu, Teddy Mapunda, Ruge Mutahaba, Richard Kasesela, Boniface Wambura na Meneja Biashara wa TFF anayetarajiwa kuajiriwa hivi karibuni.
Kamati itafanya kikao chake cha kwanza Jumatatu (Machi 3 mwaka huu) kwenye hoteli ya Courtyard iliyopo Upanda Seaview saa 7 mchana.

MAREKEBISHO YA MECHI VPL, FDL
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho madogo ya ratiba kwa mechi mbili za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na moja ya Ligi Daraja la Kwanza (VPL).
Mechi namba 143 kati ya Tanzania Prisons na Simba iliyokuwa ichezwe Machi 8 mwaka huu sasa imesogezwa kwa siku moja hadi Machi 9 mwaka huu, kwa vile Machi 8 mwaka huu Mbeya City itautumia uwanja huo kwa mechi nyingine ya VPL.
Nayo Mgambo Shooting iliyokuwa icheze na Kagera Sugar, Aprili 12 mwaka huu Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga sasa imesogezwa hadi Aprili 13 mwaka huu kwa vile Kituo cha Tanga kitakuwa na mechi mbili.
Kwa upande wa FDL, mechi ya Mkamba Rangers na Kimondo SC sasa itachezwa Machi 3 mwaka huu badala ya Machi 9 mwaka huu mjini Ifakara. Mechi hiyo imerudishwa nyuma ili kuipunguzia gharama Kimondo SC kwani Machi 1 mwaka huu itacheza na Burkina Faso mjini Morogoro.
Boniface Wambura Mgoyo
Media and Communications Officer
Tanzania Football Federation (TFF)

Benki ya Dunia 'yabana' msaada kwa UGANDA

Watu wanaosadikwa kuwa ni mashoga walipofanya maandamano   ya kutetea haki za mashoga j
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .
Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.
Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.
Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.
Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.
Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.
Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.

MCHINA ATENGENEZA PIKIPIKI YA MBAO

Wednesday, February 26, 2014

Marekani yaonya Urusi kutoivamia Ukraine

Marekani yaonya Urusi isiivamie Ukraine
Marekani imeionya serikali ya Moscow isithubutu kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ukraine.
Hatua hii inawadia siku moja tu baada ya Urusi kuamuru kufanyika kwa mazoezi ya kijeshi yanayoshirikisha askari wapiganaji laki moja na nusu kwenye mpaka wake na Ukraine .
Kujitokeza kwa wanajeshi wa Urusi kwenye mpaka na Ukraine kumeimarisha uhasama ulioko kati ya Urusi na mataifa ya Magharibi

WAFANYA KAZI WA SOKO LA KWA MROMBO WAILALAMIKIA SEREKALI

NA:MWAJUMA ABDUL
WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KWA MROMBO JIJINI ARUSHA

WAFANYA BIASHARA  WA SOKO LA KWA MROMBO JIJINI ARUSHA WAPO HATARINI KUPATA MAGONJWA YA MLIPUKO KUTOKANA NA KUSAMBAA KWA UCHAFU MAENEO YA SOKO HILO

WAKIZUNGUMZA NA WANDISHI WA HABARI NDANI YA SOKO HILO BAADHI YA WAFANYA BIASHARA WAMEDAI KUFANYA BIASHARA KATIKA HALI YA UCHAFU LICHA YA USHURU WA SOKO KILA SIKU

WAMEDAI KUWA HALI HIYO INAHATARISHA AFYA ZAO KUTOKANA MAZINGIRA HAYO KUWA MACHAFU HIVYO KUITAKA UONGOZI WA SOKO KUFANYA USAFI NDANI YA SOKO HILO HILI KUWEZA KUOKOA AFYA ZAO

WAFANYA BIASHARA HAO WAMEDAI KUWA VINYESI NA HARUFU  YA MIKOJO IMEKUWA  NI UCHAFU MKUBWA KUTOKANA NA KUTOKUWA NA VYUO VYA KUTOSHA
JITIHADA ZA KUMTAFUTA MWENYEKITI WA SOKO ZILIGONGA MWAMBA KUTOKANA NA SIMU YAKE KUTOKUWA HEWANI ILI KUTOA UFAFANUZI JUU YA HALI YA SOKO HILO NA UTARATIBU WA KUFANYA USAFI

Kenya kupeleka majeshi sudani kusini

Wanajeshi wa Sudan Kusini
Kamati Kuu ya Usalama Nchini Kenya imependekeza kwa bunge liidhinishe nyongeza ya idadi ya wanajeshi wake wa kudumisha amani walioko nchini Sudan Kusini, chini ya kivuli cha Umoja wa Mataifa, kwa majeshi 310.
Kamati hiyo chini ya uenyekiti wa Rais Uhuru Kenyatta imesema imechukua hatua hiyo kufuatia ombi la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lililofanywa Desemba 24, mwaka jana.
Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wa ikulu ya Nairobi usiku wa kuamkia leo, kamati hiyo ambayo imekutana kwa mara ya kwanza tangu Rais Uhuru Kenyatta kuanza utawala wake mwaka mmoja uliopita ilisema kuwa Kenya itawatoa wanajeshi wengine ili kufanya idadi ya wanajeshi wake walioko Sudan Kusini kufikia 1,000.
Taarifa hiyo ilieleza wazi kuwa wanajeshi wa Kenya wanaingia huko chini ya Umoja wa Kimataifa na wala sio kama taifa huru.
Itakumbukwa kuwa mara tu baada ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kuanza kati ya jeshi la Sudan Kusini linalomuunga mkono Rais Salva Kiir na wanajeshi waasi wanaomuunga mkono makamu wa rais wa zamani Daktari Riek Machar, Uganda iliwatuma wanajeshi nchini humo kuunga mkono Rais Salva Kiir.
Wakimbizi
Wakimbizi wa Sudan Kusini
Katika taarifa hiyo kamati ya usalama nchini Kenya ilisema kuwa hali ya usalama nchini Sudan Kusini imeathiri Kenya.
Wakimbizi wengi wametorokea Kenya, taifa ambalo kwa hivi sasa linakabiliwa na matatizo yake mengi ya kiuslama kutokana na idadi kubwa ya wakimbizi wa Somalia .
Miongoni mwa matatizo ya kiusalama yaliyotajwa katika taarifa hiyo ni mapigano kati ya makabila mbalimbali nchini Kenya na pia hatari ya mashambulizi ya kigaidi katika uwanja wake wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.
Mkutano huo wa usalama ulioongozwa na Rais Uhuru Kenyatta ulisema usalama katika uwanja huo utaimarishwa kwa kuimarisha mitambo ya kuwapekua wasafiri wa kimataifa.
Nairobi ni kitovu kikubwa cha usafiri kwa watalii na wafanyabiashara katika eneo zima la ukanda wa mashariki na upembe wa Afrika.
Rais Uhuru Kenyatta hii leo atasafiri hadi mji Mkuu wa Sudan Kusini, Juba, kama hatua mojawapo ya viongozi wa eneo la Afrika Mashariki la kutafuta suluhu la mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yanayoendelea nchini humo.

Na.Mariam Hassan

WAFANYA BIASHARA  WA SOKO LA KWA MROMBO JIJINI ARUSHA WAPO HATARINI KUPATA MAGONJWA YA MLIPUKO KUTOKANA NA KUSAMBAA KWA UCHAFU MAENEO YA SOKO HILO

WAKIZUNGUMZA NA WANDISHI WA HABARI NDANI YA SOKO HILO BAADHI YA WAFANYA BIASHARA WAMEDAI KUFANYA BIASHARA KATIKA HALI YA UCHAFU
LICHA YA USHURU WA SOKO KILA SIKU

WAMEDAI KUWA HALI HIYO INAHATARISHA AFYA ZAO KUTOKANA MAZINGIRA
HAYO KUWA MACHAFU HIVYO KUITAKA UONGOZI WA SOKO KUFANYA USAFI
NDANI YA SOKO HILO HILI KUWEZA KUOKOA AFYA ZAO

WAFANYA BIASHARA HAO WAMEDAI KUWA VINYESI NA HARUFU  YA MIKOJO
IMEKUWA  NI UCHAFU MKUBWA KUTOKANA NA KUTOKUWA NA VYUO VYA
KUTOSHA

JITIHADA ZA KUMTAFUTA MWENYEKITI WA SOKO ZILIGONGA MWAMBA KUTOKANA
NA SIMU YAKE KUTOKUWA HEWANI ILI KUTOA UFAFANUZI JUU YA HALI YA SOKO HILO
NA UTARATIBU WA KUFANYA USAFI

UWIZI ARUSHA STENDI

Abiria wanao ingia na kutoka katika mkoa wa arusha wameuomba uongozi wa mkoa kuweka utaratibu mzuri katika stendi ya mkoa ili kuepusha zoezi la abiria hao kuibiwa mizigo yao.
Hayo yamesemwa na baadhi ya abiria katika stendi hio, ni kutokana na msongamano wa makondakta wanao pigia debe mabasi mbalimbali yanayo ingia na kutoka katika stendi hio.
Kwa mujibu wa baadhi ya makondacta wanao patikana katika stendi ya mkoa wa Arusha wamedai kwamba tabia ya wizi katika stend hiyo inasababishwa na watu wengine haswa wanao jifanya wabeba mizigo na matoroli sambamba na makondacta walio feki.

 Na Albariki madihi

LIGI KUU ENGLAND YAZIDI KUPAMBA MOTO

INTERNATIONAL NEWS    
NA MARYLINE .D. OLOTU
Ligi Kuu England yazidi kupamba moto liendelea mwishoni mwa wiki, ambapo vigogo wa ligi hiyo waliendelea kujiimarisha katika nafasi zao kwa kupata matokeo mazuri.
Mchezo wa Jumapili kati ya Liverpool dhidi ya Swansea, ulimalizika kwa Liverpool kushinda magoli 4-3. Jordan Henderson na Daniel Sturridge wa Liverpool waliifungia timu yao magoli mawili mawili kila mmoja katika mchezo uliojaa ushindani mkubwa.

Matokeo mengine ni Newcastle kuilaza Aston Villa goli 1-0, huku nayo Norwich ikiiduaza Tottenham goli 1-0.

Michezo ya Jumamosi ilizikutanisha Arsenal na Sunderland. Arsenal ilitoa kipigo cha hasira kwa kuibamiza Sunderland magoli 4-1, ukiwa ni mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu ya England baada ya kufungwa na Bayern Munich ya Ujerumani magoli 2-0 katika michezo ya UEFA.

Eden Hazard wa Chelsea

Kenya kupeleka majeshi Sudan Kusini

Wanajeshi wa Sudan Kusini
Kamati Kuu ya Usalama Nchini Kenya imependekeza kwa bunge liidhinishe nyongeza ya idadi ya wanajeshi wake wa kudumisha amani walioko nchini Sudan Kusini, chini ya kivuli cha Umoja wa Mataifa, kwa majeshi 310.

Kamati hiyo chini ya uenyekiti wa Rais Uhuru Kenyatta imesema imechukua hatua hiyo kufuatia ombi la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lililofanywa Desemba 24, mwaka jana.

Kenya kupeleka majeshi Sudan Kusini

Wanajeshi wa Sudan Kusini
Kamati Kuu ya Usalama Nchini Kenya imependekeza kwa bunge liidhinishe nyongeza ya idadi ya wanajeshi wake wa kudumisha amani walioko nchini Sudan Kusini, chini ya kivuli cha Umoja wa Mataifa, kwa majeshi 310.

Kamati hiyo chini ya uenyekiti wa Rais Uhuru Kenyatta imesema imechukua hatua hiyo kufuatia ombi la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lililofanywa Desemba 24, mwaka jana.

Kenya kupeleka majeshi Sudan Kusini

Wanajeshi wa Sudan Kusini
Kamati Kuu ya Usalama Nchini Kenya imependekeza kwa bunge liidhinishe nyongeza ya idadi ya wanajeshi wake wa kudumisha amani walioko nchini Sudan Kusini, chini ya kivuli cha Umoja wa Mataifa, kwa majeshi 310.

Kamati hiyo chini ya uenyekiti wa Rais Uhuru Kenyatta imesema imechukua hatua hiyo kufuatia ombi la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lililofanywa Desemba 24, mwaka jana.

Kenya kupeleka majeshi Sudan Kusini

Wanajeshi wa Sudan Kusini
Kamati Kuu ya Usalama Nchini Kenya imependekeza kwa bunge liidhinishe nyongeza ya idadi ya wanajeshi wake wa kudumisha amani walioko nchini Sudan Kusini, chini ya kivuli cha Umoja wa Mataifa, kwa majeshi 310.

Kamati hiyo chini ya uenyekiti wa Rais Uhuru Kenyatta imesema imechukua hatua hiyo kufuatia ombi la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lililofanywa Desemba 24, mwaka jana.

Afrika Kusini yasema itawalinda mashoga dhidhi ya ukatili

Serikali ya Afrika Kusini imesema itazuia ukatili dhidi ya watu wenye uhusiano wa jinsia moja Msemaji wa wizara ya uhusiano wa kimataifa na ushirikiano Bw Clayson Monyela amesema, serikali ya Afrika Kusini itahakikisha kuwa vitendo vya ukatili vitaadhibiwa, na wahusika watachukuliwa hatua, kukamatwa, kufungwa na kuhukumiwa.

Tuesday, February 25, 2014

Baadhi ya wananchi wa kata ya Sombetini wakiwa kwenye foleni ya maji.
NA PENDO MICHAELI

Ukarabati wa barabara katika kata

KUPUNGUZIWA KWA KODI KWA WAMILIKI WA BODABODA

Madereva wa usafiri aina ya bodaboda Mkoani Arusha eneo la kwa Morombo wameiomba serikali kuondoa kodi kwa wamiliki wa vyombo hivyo.

Hayo yamesemwa na mmoja wa madereva hao Bw.Mosiri Mnono wakati akifanya mahojiano na waandishi wa habari kituoni hapo eneo la kwa Morombo.

Bw.Msori Mnono amsema kua kodi inayotozwa na Serikali ni kubwa kulingana na kipato wanachokipata hali inatowasababishia kutokulipwa vizuri na wamiliki wa vyombo hivyo.

Ameendelea kwa kuema kuwa Serikali imekuwa ikiwanyonya ikiwa ni pamoja na kuwatoza fedha nyingi pindi wanapokuwa wakifanya kazi zao wakati bado wanafanya

OBAMA KUONDOA MAJESHI YAKE AFGHANISTAN

Wapiganaji wa Taliban
Rais Obama ameagiza makao makuu ya ulinzi nchini Marekani Pentagon kuandaa mipango ya kuwaondoa wanajeshi wake wote kutoka Afghanistan ifikapo mwisho wa mwaka huu iwapo hakutakuwepo maafikiano rasmi na Serikali ya Afghanistan.
Rais Obama alimpigia simu Rais Karzai wa Afghansitan juu ya mipango hiyo yake.
Rais Karzai amewaudhi Marekani kwa kukataa kata kata kutia sahihi muafaka ambao ungeruhusu baadhi ya wanajeshi kuendelea kukaa Afghanistan baada ya muda uliokubaliwa awali wa mwisho wa mwaka huu wa 2014 .
Mpango huo ambao tayari ulikuwa umekubaliwa na baadhi ya viongozi wa kikabila wa Afghanistan - unaandaa wajibu wa wanajeshi wa NATO unaoshirikisha kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Afghanistan na kusaidia Serikali ya taifa hilo kukabiliana na wapiganaji wa Kitaliban.
Mkataba huo pia unawapa kinga ya kisheria wanajeshi wa Marekani walioko nchini Afghanistan.
Ikulu ya White House inasema kuwa hakuna uwezekano wa Karzai kutia sahihi mapatano hayo kabla ya kuondoka mamlakani Aprili mwaka huu

Posted by;Mariam Hassan