(Kutoka kushoto ni mjariliamali MAMA ABDULY akizungumza na na
mwaandishi wa habari mapema jana)
Mmoja wa wa mfanya biashara katika
soko hilo aliyejulikana kama ,MAMA ABDULY akizungumza na waandishi wa habari
hapo jana katika sokoni hapo nakusema
kupanda kwa bei za nyanya pamoja na mboga ni changamoto kwao kwani wanashindwa
kukidhi mahitaji yao pamoja na familia zao
Alisema kuwa wamekuwa wakinunua
sanduku (tenga) moja kwa bei ya shilingi eilfu tisa(9000) mpaka eilfu ishirini
na mbili(22000) lakini kwa sasa wananunua kwa shilingi (25000) mpaka sh.30000
kwa bei ambayo inaleta changamoto wakati wakuwauzia wateja wao kwani
wanashindwa kuelewana.
"Mteja aliyezoea kununua nyanya kwa
bei nafuu alafu anakuta bei imepanda
mpaka kumuelewesha inachukua mda kwa sababu anakuta nyanya za mia tano
ni nne(4) na amezoea kwa kukuta ni nyanya sita au saba anashindwa kuelewa"
alisema mama abduly.
Aidha mjasiriamali huyo aliweza
kuzungumzia biashara nyingine ya mboga
kwani wakulima walikuwa wanawauzia mboga fungu moja sh.100 lakin sasa
wanawauzia fungu 3 kwa shilingi mia tano.(500) bei ambayo ni kikwazo kwao.
"kama unavyoona sijasoma sana na
nimeamua kujishughulisha na biashara hii ya uuzaji wa nyanya na mbogamboga kwa
kukidhi mahitaji yangu
pamoja na
familia yangu pia nasomesha watoto kupitia biashara hii,nimenunua kiwanja
kupitia biashara hii ambapo ni faida nayoipata lakini sasa nashindwa kupata faida kutokana na bei
hizi kupanda" alisema
Pamoja na hayo wafanya biashara hao
wameendelea kusema kuwa changamoto hizo zinaambatana nakutokuwepo kwa choo,maji
kwani ni huduma muhimi sanak wa jamii pamoja na sehemu maalum ya kufanyia
biashara hizo kwani eneo hilo ambalo ni wanalitumia kwa sasa limekuwa dogo
kutokana kuwa na wafanya biasharakatika eneo hilo.
Pia wafanya biashara hao walimazia kwa
kusema wanauomba uongozi wa soko hilo kuwatengea eneo maalum kwa ajili ya
biashara hiyo kwani eneo hilo wnaolifanyia biashara ni changamoto kwao na dogo
sana kwani eneo hilo liko kandokandona barabara ikiwa nia hatari kwa maisha
yao..HABARI NA ELIZABETH NJAU,PICHA NA GEORGE HILONGA
0 comments:
Post a Comment