Monday, March 31, 2014

WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa gazeti hili, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana. Picha na Edwin Mjwahuzi.
“Shivji alikuwa anasema Tanganyika imejificha kwenye Muungano ili inufaike. Kwa hiyo anasema Tanganyika iwe wazi isijifiche,” alisema Jaji Warioba.

0 comments:

Post a Comment