Home
Business
Internet
Market
Stock
Downloads
Dvd
Games
Software
Office
Parent Category
Child Category 1
Sub Child Category 1
Sub Child Category 2
Sub Child Category 3
Child Category 2
Child Category 3
Child Category 4
Featured
Health
Childcare
Doctors
Uncategorized
Wednesday, March 26, 2014
RAIS KIKWETE AMEAHIRISHA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
1:23 AM
No comments
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete, amelazimika kuahirisha Ziara yake huko Mkoani Tanga, kutokana na sababu za kiutendaji.
Akizungumzia kuahirishwa
kwa Ziara hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chuku Galawa, amesema Rais amelazimika kuahirisha ziara yake juzi Machi 24, mwaka huu, ambapo ataendelea nayo tena leo, ambapo amesema ujio wake umesababisha Wananchi kupata majibu ya kero zilizokuwa zinawasumbua ikiwemo kero ya upatikanaji wa Maji ya Uhakika.
Aidha amesema Rais Kikwete pamoja na mambo mengine ameongea na Wananchi wa Mombo katika Mkutano wa hadhara ambapo baada ya kumaliza shughuli hiyo alilazimika kuahirisha ziara katika Mkoa huo kutokana na mambo ya utendaji wa Kazi ambapo ataenda nje ya Nchi, lakini kesho atanza tena ziara katika Wilaya ya Muheza na Wilaya ya Tanga.
“Ameweza kutembelea Kata ya Makuyuni ambapo kuna maabara, inayojengwa kwa nguvu za Wananchi ambayo Rais Kikwete ameridhishwa na Ujenzi huo, na pia ameembelea Wakulima Wadogo Wadogo wa Kilimo cha Mkonge ambao wamejiunga kwenye Ushirika wao ili kujikwamua kuiuchumi” alisema Galawa.
Hata hivyo amesema ujio wa Rais umewafurahisha Wananchi wa Mkoa huo, kwani miradi atakayoitembelea ataisifia na pengine kutoa maelekezo ya namna ya kuboresha utendaji kazi.
Alisema alipokuwa Mombo alizungumza na Wakazi wa eneo hilo, kuhusu Kero ya maji yanayotegemewa na Wakazi hao kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji.
“Pia Wananchi wa Kata ya Mombo wamemweleza hitaji lao la kutaka kupandishwa hadhi kwa Mji Mdogo, kuwa Halmashauri na suala la Afya ambapo Mheshimiwa Rais ameahidi kuyashughulikia haraka iwezeka navyo” alisema Galawa
Chiku hakusema kuwa sababu ya Rais kuahirisha ziara hiyo ninini lakini Rai mwenyewe aliwaambia Wananchi kuwa amepata Dharura ya kutafutwa na Majirani zake wa karibu wanaoshirikiana nao kwa kikazi.
Mkoa wa Tanga una Wilaya Nane ambazo ni Wilaya ya Handeni, Korogwe,Lushoto, Muheza, Pangani, Tanga mjini, Muheza, na Tanga ambapo kwa awamu ya Kwanza atatembelea Wilaya Nne na tayari amemaliza Wilaya mbili na kesho kutwa atamalizia ziara yake ambapo amesema zitakazokuwa zimebaki atazitembelea Mwezi Aprili mwaka huu.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
UJASIRIAMALI NI MKOMBOZI WA MAISHA..ARUSHA
Mkurugenzi wa mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bwana Joseph Mayagila Akifungua semina ya ujasiriamali iliyo...
Liberia kupatiwa dawa ya majaribio ya Ebola
Liberia imetangaza kuwa hivi karibuni itapokea dozi za dawa za majaribio ya kutibu ugonjwa wa Ebola kutoka Marekani, ambazo itazitumia kw...
CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WATEMBELEA VITUO VINNE VYA REDIO!!
Picha na Habari by:Emanueli onesmo ndanshau Wanachama wa Club ya Waandishi wa Habari na utangazaji (AJTC) katika Chuo cha Uandishi wa...
WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA WANAOUZA DAMU MAHOSPITALINI!!
Mtaalamu kutoka tume ya uchangiaji damu salama Nchini Bw.George Chambo akitoa utambulisho mfupi wa msafara aliofuatana nao. Kat...
KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA
ROONEY APEWA UNAHODHA WA ENGLAND. habari na YASINTA PETER Nahodha mpya wa England Wayne Rooney. Kocha mkuu wa ti...
(no title)
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari arusha wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya shoo ya pamoja katika maafali ya chuo katik...
MTOTO WA MAREHEMU TYSON "SONIA" ATOA WOSIA MZITO KUHUSU KIFO CHA BABA YAKE, SIKILIZA SAUTI YAKE HAPA
Juzi simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji ...
(no title)
Waraka wa Katiba wa CCM hadharani Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.PICHA|MAKTABA NA SIA MINJA CHANZO MWA...
WAJASIRIAMALI WADOGO KATIKA SOKO LA KWA MROMBO WAMELALAMIKIA UONGOZI WA SOKO HILO KUTOKANA MFUMUKO WA BEI.
(Kutoka kushoto ni mjariliamali MAMA ABDULY ak...
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI JIJINI ARUSHA LEO.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka l...
Powered by
Blogger
.
About Me
Unknown
View my complete profile
Blog Archive
▼
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
►
April
(11)
▼
March
(31)
HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!...
WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
HABARI ZA ARUSHA: MANGARIBA 150 WASALIMISHA ZANA Z...
BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA GABRIEL TUPA A...
RAIS KIKWETE AMEAHIRISHA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
EXCLUSSIVE!!!!!! HUYU HAPA YULE MTOTO ALIYEOTA NYA...
FAO kuzuia kutokea maafa ya chakula CAR
Watu 529 wahukumiwa Kifo Misri!
WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA RAIS KIKWETE
PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
Mwanafunzi wa chekechea wa miaka 6 alawitiwa Iring...
Utelekezaji wa watoto Iringa jamii yaaswa kutoa ma...
ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o
Simiyu yakabiliwa na Njaa kali!!!!!!!!!!!!!
Wawili wafariki dunia mkoani iringa, mmoja kwa kui...
Kizungumkuti cha amani Sudan Kusini
Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
NAFASI MPYA ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA M...
Madiwani wa iringa watakiwa kuelimisha wananchi ku...
RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KILA KIJIJI KUPATA TREKTA...
Mazingira machafu yawakera Wakazi wa kinegomgosi ‘...
Israel yaushambulia Ukanda wa Gaza
KIKWETE KUMWAPISHA KATIBU MKUU WA BUNGE MAALUM LA ...
SHANGAZI WA RAIS KENYATA ATEKWA JIJINI NAIROBI
NICE MEDIA WORKS
Juhudi za Kerry zagonga mwamba Paris
WABUNGE KENYA WATAKA SHERIA KALI DHIDI YA MAPENZI ...
Maoni:Umoja wa ulaya wasaka njia za kuitanabahisha...
Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine
Tanzania kushiriki Miss Grand International 2014
►
February
(67)
►
January
(5)
►
2013
(28)
►
December
(5)
►
November
(16)
►
October
(7)
Labels
BURUDANI
habari
habari ya kimataifa
habari ya kitaifa
HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA BUNGE
habari za kimataifa
i
KIJAMII
kitaifa
MICHEZO
Urembo ( fashion).
Blog Archive
▼
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
►
April
(11)
▼
March
(31)
HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!...
WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
HABARI ZA ARUSHA: MANGARIBA 150 WASALIMISHA ZANA Z...
BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA GABRIEL TUPA A...
RAIS KIKWETE AMEAHIRISHA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
EXCLUSSIVE!!!!!! HUYU HAPA YULE MTOTO ALIYEOTA NYA...
FAO kuzuia kutokea maafa ya chakula CAR
Watu 529 wahukumiwa Kifo Misri!
WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA RAIS KIKWETE
PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
Mwanafunzi wa chekechea wa miaka 6 alawitiwa Iring...
Utelekezaji wa watoto Iringa jamii yaaswa kutoa ma...
ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o
Simiyu yakabiliwa na Njaa kali!!!!!!!!!!!!!
Wawili wafariki dunia mkoani iringa, mmoja kwa kui...
Kizungumkuti cha amani Sudan Kusini
Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
NAFASI MPYA ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA M...
Madiwani wa iringa watakiwa kuelimisha wananchi ku...
RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KILA KIJIJI KUPATA TREKTA...
Mazingira machafu yawakera Wakazi wa kinegomgosi ‘...
Israel yaushambulia Ukanda wa Gaza
KIKWETE KUMWAPISHA KATIBU MKUU WA BUNGE MAALUM LA ...
SHANGAZI WA RAIS KENYATA ATEKWA JIJINI NAIROBI
NICE MEDIA WORKS
Juhudi za Kerry zagonga mwamba Paris
WABUNGE KENYA WATAKA SHERIA KALI DHIDI YA MAPENZI ...
Maoni:Umoja wa ulaya wasaka njia za kuitanabahisha...
Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine
Tanzania kushiriki Miss Grand International 2014
►
February
(67)
►
January
(5)
►
2013
(28)
►
December
(5)
►
November
(16)
►
October
(7)
Recent Posts
Unordered List
Download
0 comments:
Post a Comment