Home
Business
Internet
Market
Stock
Downloads
Dvd
Games
Software
Office
Parent Category
Child Category 1
Sub Child Category 1
Sub Child Category 2
Sub Child Category 3
Child Category 2
Child Category 3
Child Category 4
Featured
Health
Childcare
Doctors
Uncategorized
Wednesday, March 19, 2014
RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KILA KIJIJI KUPATA TREKTA KWA AJILI YA KILIMO
2:51 AM
No comments
M
gombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014.Katika Mikutano yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo hilo,Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo.Picha na Othman Michuzi
- Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mzee Joseph January wa Kijiji cha Kisanda,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze.Picha na Othman Michuzi
MGOMBEA wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo kiwe na tija.
Alitoa ahadi hiyo wakati wa mikutano ya kampeni kwenye vijiji vya Mindukene, Msigi, Kisanga vyote vikiwa kwenye kata ya Talawanda.
Kikwete alisema kuwa wakulima wengi bado wanatumia jembe la mkono ambalo haliwezi kuwaletea manufaa wala kuboresha kilimo ambacho ni tegemeo lao.
"Nikianikiwa kupata ubunge nitahakikisha kila kijiji kinakuwa na matrekta kwa ajili ya kuwa na wakulima ambao wataweza kulima kwa faida kwa ajili ya chakula na ziada kuuza ili kujiongezea kipato," alisema Kikwete.
Akizungumzia changamoto ya migogoro ya wakulima na wafugaji alisema kuwa atahakikisha anazikutanisha pande zote ili kujua chanzo cha migogoro hiyo.
"Tatizo kubwa ni viongozi kushindwa kuzikutanisha pande zinazohusika badala yake wanaongea na upande mmoja jambo ambalo haliwezi kumaliza migogoro hiyo ambapo njia pekee ni kuwa na matumizi bora ya ardhi kwa kutenga maeneo kwa wakulima na wafugaji," alisema Kikwete.
Aidha alisema kuwa migogoro hiyo inatokana na wafugaji kuingia kinyemela pasipo kufuata taratibu bila ya kupitia kwenye mikutano mikuu ya serikali za vijiji.
Katika hatua nyingine aliwataka wazazi kuepukana na tabia ya kuuza kiholela maeneo yao hali ambayo itasababisha vijana kukosa ardhi kwa ajili ya kilimo na makazi.
Aliongeza kuwa atahakikisha anaboresha masuala mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu, afya, miundombinu, kilimo, mikopo kwa vijana na akinamama, uzinduzi rasmi wa kampeni unatarajiwa kufanyika kesho Aprili huko Chalinze na uchaguzi utafanyika Aprili 6 mwaka huu.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
MATOKEO YA DARASA LA SABA HAYA HAPA!!
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2013 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
(no title)
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari arusha wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya shoo ya pamoja katika maafali ya chuo katik...
UJASIRIAMALI NI MKOMBOZI WA MAISHA..ARUSHA
Mkurugenzi wa mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bwana Joseph Mayagila Akifungua semina ya ujasiriamali iliyo...
Liberia kupatiwa dawa ya majaribio ya Ebola
Liberia imetangaza kuwa hivi karibuni itapokea dozi za dawa za majaribio ya kutibu ugonjwa wa Ebola kutoka Marekani, ambazo itazitumia kw...
CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WATEMBELEA VITUO VINNE VYA REDIO!!
Picha na Habari by:Emanueli onesmo ndanshau Wanachama wa Club ya Waandishi wa Habari na utangazaji (AJTC) katika Chuo cha Uandishi wa...
ONA WANAFUNZI WA ST. ANNE MARIE BONGO WALIVYOHARIBU MALI ZA SHULE YAO ONA HAPA LIVE!!
Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu m...
CHADEMA KUIPELEKA MAHAKAMANI KATIBA ILIYOPENDEKEZWA ISIPIGIWE KURA NA WANANCHI
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kimesema kinakamilisha ushahidi ili kwenda mahakamani kupinga katiba inayopendekezwa kupe...
WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA WANAOUZA DAMU MAHOSPITALINI!!
Mtaalamu kutoka tume ya uchangiaji damu salama Nchini Bw.George Chambo akitoa utambulisho mfupi wa msafara aliofuatana nao. Kat...
KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA
ROONEY APEWA UNAHODHA WA ENGLAND. habari na YASINTA PETER Nahodha mpya wa England Wayne Rooney. Kocha mkuu wa ti...
MTOTO WA MAREHEMU TYSON "SONIA" ATOA WOSIA MZITO KUHUSU KIFO CHA BABA YAKE, SIKILIZA SAUTI YAKE HAPA
Juzi simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji ...
Powered by
Blogger
.
About Me
Unknown
View my complete profile
Blog Archive
▼
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
►
April
(11)
▼
March
(31)
HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!...
WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
HABARI ZA ARUSHA: MANGARIBA 150 WASALIMISHA ZANA Z...
BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA GABRIEL TUPA A...
RAIS KIKWETE AMEAHIRISHA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
EXCLUSSIVE!!!!!! HUYU HAPA YULE MTOTO ALIYEOTA NYA...
FAO kuzuia kutokea maafa ya chakula CAR
Watu 529 wahukumiwa Kifo Misri!
WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA RAIS KIKWETE
PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
Mwanafunzi wa chekechea wa miaka 6 alawitiwa Iring...
Utelekezaji wa watoto Iringa jamii yaaswa kutoa ma...
ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o
Simiyu yakabiliwa na Njaa kali!!!!!!!!!!!!!
Wawili wafariki dunia mkoani iringa, mmoja kwa kui...
Kizungumkuti cha amani Sudan Kusini
Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
NAFASI MPYA ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA M...
Madiwani wa iringa watakiwa kuelimisha wananchi ku...
RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KILA KIJIJI KUPATA TREKTA...
Mazingira machafu yawakera Wakazi wa kinegomgosi ‘...
Israel yaushambulia Ukanda wa Gaza
KIKWETE KUMWAPISHA KATIBU MKUU WA BUNGE MAALUM LA ...
SHANGAZI WA RAIS KENYATA ATEKWA JIJINI NAIROBI
NICE MEDIA WORKS
Juhudi za Kerry zagonga mwamba Paris
WABUNGE KENYA WATAKA SHERIA KALI DHIDI YA MAPENZI ...
Maoni:Umoja wa ulaya wasaka njia za kuitanabahisha...
Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine
Tanzania kushiriki Miss Grand International 2014
►
February
(67)
►
January
(5)
►
2013
(28)
►
December
(5)
►
November
(16)
►
October
(7)
Labels
BURUDANI
habari
habari ya kimataifa
habari ya kitaifa
HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA BUNGE
habari za kimataifa
i
KIJAMII
kitaifa
MICHEZO
Urembo ( fashion).
Blog Archive
▼
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
►
April
(11)
▼
March
(31)
HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!...
WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
HABARI ZA ARUSHA: MANGARIBA 150 WASALIMISHA ZANA Z...
BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA GABRIEL TUPA A...
RAIS KIKWETE AMEAHIRISHA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
EXCLUSSIVE!!!!!! HUYU HAPA YULE MTOTO ALIYEOTA NYA...
FAO kuzuia kutokea maafa ya chakula CAR
Watu 529 wahukumiwa Kifo Misri!
WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA RAIS KIKWETE
PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
Mwanafunzi wa chekechea wa miaka 6 alawitiwa Iring...
Utelekezaji wa watoto Iringa jamii yaaswa kutoa ma...
ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o
Simiyu yakabiliwa na Njaa kali!!!!!!!!!!!!!
Wawili wafariki dunia mkoani iringa, mmoja kwa kui...
Kizungumkuti cha amani Sudan Kusini
Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
NAFASI MPYA ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA M...
Madiwani wa iringa watakiwa kuelimisha wananchi ku...
RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KILA KIJIJI KUPATA TREKTA...
Mazingira machafu yawakera Wakazi wa kinegomgosi ‘...
Israel yaushambulia Ukanda wa Gaza
KIKWETE KUMWAPISHA KATIBU MKUU WA BUNGE MAALUM LA ...
SHANGAZI WA RAIS KENYATA ATEKWA JIJINI NAIROBI
NICE MEDIA WORKS
Juhudi za Kerry zagonga mwamba Paris
WABUNGE KENYA WATAKA SHERIA KALI DHIDI YA MAPENZI ...
Maoni:Umoja wa ulaya wasaka njia za kuitanabahisha...
Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine
Tanzania kushiriki Miss Grand International 2014
►
February
(67)
►
January
(5)
►
2013
(28)
►
December
(5)
►
November
(16)
►
October
(7)
Recent Posts
Unordered List
Download
0 comments:
Post a Comment