LAKE NATRON CLASS
  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

Wednesday, March 19, 2014

Madiwani wa iringa watakiwa kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya uwizi wa maji

2:53 AM    No comments




Mamlaka ya maji safi na  usafi wa mazingira iringa  mjini IRUWASA imewataka madiwani wanapokuwa kwenye vikao vyao na wananchi,wawaelimishe ili waachane na swala zima la wizi wa maji pamoja na matumizi  yasiyo kuwa sahihi .

Hayo yamesemwa  na mwenyekiti wa bodi ya maji iringa BW. Pascal Mhongole Wakati akiongea na madiwani  wa Halmashauri ya manispaa ya iringa katika semina ya wiki ya maji iliyoanza jana,semina hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo  mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya iringa mjini

Kwa upande wake mtoa semina hiyo BI.JESCA MWALYOYO amesema kuwa  ili mamlaka iweze kujiendesha ni wajibu wa watumiaji wote wa maji kulipa bili zao kwa wakati pindi tu wanapopata bili hizo ili kuweza kuepukana na usumbufu ikiwa nipamoja na kukatiwa maji.

Semina hiyo iliambatana na kutolewa zawadi ya hati maalum na fedha taslimu shilingi elfu hamsini kwa kwa wananchi wanne ambao wameonyesha ushirikiano wa kulipa bili ya maji kwa muda unaostahili.
Aidha waliopokea hati hizo na zawadi ni CHARLES MUNGAI, HALIMAMPOSI, SAMWELI KINYUNYU pamoja na mwakilishi kutoka shirika la NSSF.

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail
  • Popular
  • Tags
  • Blog Archives
  • UJASIRIAMALI NI MKOMBOZI WA MAISHA..ARUSHA
    Mkurugenzi wa mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bwana Joseph Mayagila Akifungua semina ya ujasiriamali iliyo...
  • Liberia kupatiwa dawa ya majaribio ya Ebola
    Liberia imetangaza kuwa hivi karibuni itapokea dozi za dawa za majaribio ya kutibu ugonjwa wa Ebola kutoka Marekani, ambazo itazitumia kw...
  • CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WATEMBELEA VITUO VINNE VYA REDIO!!
    Picha na Habari by:Emanueli onesmo ndanshau Wanachama wa Club ya Waandishi wa Habari na utangazaji (AJTC) katika Chuo cha Uandishi wa...
  • WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA WANAOUZA DAMU MAHOSPITALINI!!
    Mtaalamu  kutoka tume ya uchangiaji damu salama Nchini Bw.George Chambo akitoa utambulisho mfupi wa msafara aliofuatana nao. Kat...
  • KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA
    ROONEY APEWA UNAHODHA WA ENGLAND.  habari na YASINTA PETER Nahodha mpya wa England Wayne Rooney. Kocha mkuu wa ti...
  • (no title)
    wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari arusha wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya shoo ya pamoja katika maafali  ya chuo katik...
  • MTOTO WA MAREHEMU TYSON "SONIA" ATOA WOSIA MZITO KUHUSU KIFO CHA BABA YAKE, SIKILIZA SAUTI YAKE HAPA
    Juzi  simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji ...
  • (no title)
    Waraka wa Katiba wa CCM hadharani Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.PICHA|MAKTABA  NA SIA MINJA CHANZO MWA...
  • WAJASIRIAMALI WADOGO KATIKA SOKO LA KWA MROMBO WAMELALAMIKIA UONGOZI WA SOKO HILO KUTOKANA MFUMUKO WA BEI.
    (Kutoka kushoto ni mjariliamali MAMA ABDULY ak...
  • MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI JIJINI ARUSHA LEO.
      Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka l...
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2014 (183)
    • ►  October (2)
    • ►  September (17)
    • ►  August (22)
    • ►  July (9)
    • ►  June (19)
    • ►  April (11)
    • ▼  March (31)
      • HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
      • MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!...
      • WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
      • HABARI ZA ARUSHA: MANGARIBA 150 WASALIMISHA ZANA Z...
      • BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA GABRIEL TUPA A...
      • RAIS KIKWETE AMEAHIRISHA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
      • EXCLUSSIVE!!!!!! HUYU HAPA YULE MTOTO ALIYEOTA NYA...
      • FAO kuzuia kutokea maafa ya chakula CAR
      • Watu 529 wahukumiwa Kifo Misri!
      • WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA RAIS KIKWETE
      • PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
      • Mwanafunzi wa chekechea wa miaka 6 alawitiwa Iring...
      • Utelekezaji wa watoto Iringa jamii yaaswa kutoa ma...
      • ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o
      • Simiyu yakabiliwa na Njaa kali!!!!!!!!!!!!!
      • Wawili wafariki dunia mkoani iringa, mmoja kwa kui...
      • Kizungumkuti cha amani Sudan Kusini
      • Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
      • NAFASI MPYA ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA M...
      • Madiwani wa iringa watakiwa kuelimisha wananchi ku...
      • RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KILA KIJIJI KUPATA TREKTA...
      • Mazingira machafu yawakera Wakazi wa kinegomgosi ‘...
      • Israel yaushambulia Ukanda wa Gaza
      • KIKWETE KUMWAPISHA KATIBU MKUU WA BUNGE MAALUM LA ...
      • SHANGAZI WA RAIS KENYATA ATEKWA JIJINI NAIROBI
      • NICE MEDIA WORKS
      • Juhudi za Kerry zagonga mwamba Paris
      • WABUNGE KENYA WATAKA SHERIA KALI DHIDI YA MAPENZI ...
      • Maoni:Umoja wa ulaya wasaka njia za kuitanabahisha...
      • Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine
      • Tanzania kushiriki Miss Grand International 2014
    • ►  February (67)
    • ►  January (5)
  • ►  2013 (28)
    • ►  December (5)
    • ►  November (16)
    • ►  October (7)

Labels

  • BURUDANI
  • habari
  • habari ya kimataifa
  • habari ya kitaifa
  • HABARI ZA BIASHARA
  • HABARI ZA BUNGE
  • habari za kimataifa
  • i
  • KIJAMII
  • kitaifa
  • MICHEZO
  • Urembo ( fashion).

Blog Archive

  • ▼  2014 (183)
    • ►  October (2)
    • ►  September (17)
    • ►  August (22)
    • ►  July (9)
    • ►  June (19)
    • ►  April (11)
    • ▼  March (31)
      • HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
      • MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!...
      • WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
      • HABARI ZA ARUSHA: MANGARIBA 150 WASALIMISHA ZANA Z...
      • BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA GABRIEL TUPA A...
      • RAIS KIKWETE AMEAHIRISHA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
      • EXCLUSSIVE!!!!!! HUYU HAPA YULE MTOTO ALIYEOTA NYA...
      • FAO kuzuia kutokea maafa ya chakula CAR
      • Watu 529 wahukumiwa Kifo Misri!
      • WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA RAIS KIKWETE
      • PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
      • Mwanafunzi wa chekechea wa miaka 6 alawitiwa Iring...
      • Utelekezaji wa watoto Iringa jamii yaaswa kutoa ma...
      • ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o
      • Simiyu yakabiliwa na Njaa kali!!!!!!!!!!!!!
      • Wawili wafariki dunia mkoani iringa, mmoja kwa kui...
      • Kizungumkuti cha amani Sudan Kusini
      • Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
      • NAFASI MPYA ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA M...
      • Madiwani wa iringa watakiwa kuelimisha wananchi ku...
      • RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KILA KIJIJI KUPATA TREKTA...
      • Mazingira machafu yawakera Wakazi wa kinegomgosi ‘...
      • Israel yaushambulia Ukanda wa Gaza
      • KIKWETE KUMWAPISHA KATIBU MKUU WA BUNGE MAALUM LA ...
      • SHANGAZI WA RAIS KENYATA ATEKWA JIJINI NAIROBI
      • NICE MEDIA WORKS
      • Juhudi za Kerry zagonga mwamba Paris
      • WABUNGE KENYA WATAKA SHERIA KALI DHIDI YA MAPENZI ...
      • Maoni:Umoja wa ulaya wasaka njia za kuitanabahisha...
      • Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine
      • Tanzania kushiriki Miss Grand International 2014
    • ►  February (67)
    • ►  January (5)
  • ►  2013 (28)
    • ►  December (5)
    • ►  November (16)
    • ►  October (7)

Recent Posts

Unordered List

Download

 
  • Labels

    • BURUDANI
    • habari
    • habari ya kimataifa
    • habari ya kitaifa
    • HABARI ZA BIASHARA
    • HABARI ZA BUNGE
    • habari za kimataifa
    • i
    • KIJAMII
    • kitaifa
    • MICHEZO
    • Urembo ( fashion).
  • Text Widget

  • Pages

    • Home
Copyright © LAKE NATRON CLASS | Powered by Blogger
Design by FThemes | Blogger Theme by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com
NewBloggerThemes.com