Mkurugenzi wa redio faraja Bw.Simeo Makoba akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari na Utangazaji. |
KWA WAIMBAJI WA INJILI
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Mtaalamu kutoka tume ya uchangiaji damu salama Nchini Bw.George Chambo akitoa utambulisho mfupi wa msafara aliofuatana nao. |
Mwanafunzi Mtaita Elieth aliyesimama kwenye nafasi ya Afisa mahusianoo wa kampuni akitoa maelezo mbalimbali kuhusu bidhaa inayozalishwa na kampuni yao waliyoitambulisha kwa jina la TARANGIRE. |
Mwanafunzi Gervas Danieli aliyesimama kwenye nafasi ya Mkurugenzi wa kampuni akitoa maelezo mbalimbali kuhusu bi kampuni yake waliyoitambulisha kwa jina la TARANGIRE. |
Haruna na tuzo zake tatu |
Haruna akipokea tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Kigeni kutoka kwa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika Kusini (SAFA) |
Wanafunzi wa Uandishi wa Habari na Utangazaji ngazi ya Stashahada wakiwa mbele ya jengo la utawala na Mkurugenzi wa Mafunzo katika Chuo hicho. |
Kikaokinachojadili maendeleo ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya ziwa Mashariki (Mara,Simiyu na Shinyanga) kimemtimua Mbunge wa Maswa Magharibi John Magale Shibuda baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani naye muda mfupi uliopita jioni hii.
Shibuda ambaye alihudhuria kikao hichou kama mbunge wa Kanda hiyo alijikuta akipatwa na zahama hiyo baada ya mjumbe mmoja kutoa hoja kwa Mwenyekiti wa Kikao hicho kwamba Shibuda atoke nje.
Mjumbe huyo alisema Shibuda ni mamluki na kibaraka wa CCM hasa kutokana na matamshi yake kadhaa dhidi ya Chadema na mwenendo wake usioridhisha ndani ya chama.Aliongeza kwamba Shibuda alikuwa kwenye kikao hicho kwa lengo maalum la kukusanya habari na kupeleka CCM.
Hatimaye hoja ya mjumbe huyo iliungwa mkono na wajumbe wote na hatimaye ikapigwa kura ya kutokuwa na imani naye.
Shibuda alikubali kuondoka ndani ya kikao hicho kwa aibu kubwa na hatimaye mkutano umeendelea.
SAMSON MWIGAMBA |
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la Natron wakifanya mazoezi ya vitendo katika somo la online journalism. |