Wafanya
biashara wa soko la kwa morombo mkoani Arusha wameimba serikali kuboresha
miundo mbinu ndani ya soko hilo
Wakizungumza
na mwandishi wetu wafanyabiashara hao wamesema kuwa mazingira ya shughuli zao
hayaridhishi kwani kwan tatizo la uchafu wa mazingira limekuwa la muda mrefu
bila kufanyiwa ufumbuzi wa aina yeyote
Aidha
wameeleza kuwa wamekuwa wakitoa michango ya ushuru wa soko hilo ikiwa na lengo
kubwa ni kuboresha miundo mbinu ya soko hilo na matokeo yake ni
kutokuboreshwa huku baadhi ya wafanyabiashara
wakibakiwa na maswali kuwa ushuru wanaotoa unapelekwa wapi
Mmoja wa
wafanyabiashara wa maindi Bi pendo moyo
amesema watashuhulikia maeneo mbalimbali kwa wale watakao sita kutoa ushuru atapatiwa
adhabu ama faini ambayo itamfanya asirudie kosa hilo
Kulia Melina makabali akifanya maojianio na mmoja wa wafanyabiashara bw; Jafari Mwanga katika soko la kwa morombo jana (Picha na Charles Chami) |
“Kila siku tuna lalamika kuhusu
mazingira lakini hatueleweki na tunawambia wasipolipa watafukuzwa maeneo ya
haya”
0 comments:
Post a Comment