Friday, June 6, 2014

TUKIO KATIKA PICHA: MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MTOTO NARSA(MTOTO WA KWENYE BOKSI) KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

 Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra.
Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro                      


na neema mushi

0 comments:

Post a Comment