Friday, June 6, 2014

HABARI PICHA ZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA NJOMBE

 

  


 Deo Sanga ambaye ni Mbunge na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Njombe.


Aliyekuwa  mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe, Adam Ismail Msigwa (pichani) ambaye alijukana kwa jina maarufu kama 'Shilingi ni Vita' amefariki  nyumbani katika Mitaa wa Kwivaha Njombe mjini na mazishi yalifanyika katika kijiji cha lisitu.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Cept. mstaafu Aseri Msangi (kushoto ) wa pili ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw Saitabau na wa mwisho (kulia) ni Kamanda wa polisi mkoa  SACP  Ngonyani.
"MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI"
 'AMINA
Na janeth mbunito

0 comments:

Post a Comment