Home
Business
Internet
Market
Stock
Downloads
Dvd
Games
Software
Office
Parent Category
Child Category 1
Sub Child Category 1
Sub Child Category 2
Sub Child Category 3
Child Category 2
Child Category 3
Child Category 4
Featured
Health
Childcare
Doctors
Uncategorized
Friday, April 4, 2014
HABARI ZA SHINYANGA: Wimbi la Mauaji ya Vikongwe Shinyanga lapungua!
12:29 AM
No comments
WIMBI la mauaji ya Vikongwe na Watu wasio na hatia uliokuwa unafanyika katika Mkoa wa Shinyanga, ambapo maisha ya watu ya Wananchi wake yalikuwa yanakatishwa na baadhi ya Watu kwa Imani za Kishirikina hali sasa ni shwari
.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Evarist Mangala amesema kuhusiana na hali hiyo Jeshi limejitahidi kupambana na wahalifu wanaoshiriki Vitendo hivyo na kuiachia Sheria kupambana nao ili kukomesha tatizo hilo.
Amesema hatua hiyo imefanikiwa kutokana na Elimu ambayo Jeshi hilo limekuwa likiitoa, ili kuondoa dhana iliyokuwa imejengeka miongoni mwa jamii hiyo katika Mkoa wa Shinyanga.
Aidha alisema katika kipindi cha mwezi Februari na Machi hakuna tukio lolote ambalo limetokea likihusishwa na Imani hizo, ambapo ikilinganishwa na kipindi kilichopita ambapo Vikongwe waliuwawa alikuwemo, Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega Wilayani Kahama, Ng’wana Gimbishi (75) aliyeokotwa katika Soko la Mitumbani
(hakujulikana makazi yake),
Esha Juma (61) Mkazi wa Ngokolo naHappyness Paulo (48), mkazi wa Majengo, na wengine ambao hakuweza kuwataja majina yao,
wakiwa wameuwawa kwa kuhusishwa na Imani za kishirikina
.
“Sasa hivi watu wameelimika tuko kwenye karne ya Sayansi na Tekinolojia, mambo ya kuuana Watu wameona ni suala ambalo limepitwa na wakati tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo kama ilikuwa inapita wiki bila kuripotiwa tukio la mauaji yanayohusishwa na Imani hizo ilikuwa bahati” alisema Mangala
Amesema kutoka na hali hiyo Mahakama ya Wilaya Kahama inaendelea kushughulikia kesi mbalimbali zikiwemo Zinazohusishwa na Imani za Kishirikina na Mahakama ya Mwanzo Mjini Shinyanga.
Mbali na hayo alisema, mauaji ya watu mbalimbali wakiwemo yalikuwa yakifanywa nyakati za usiku na alfajiri ambapo wauaji walikuwa wanavunja Nyumba za watu wanaohisiwa kuhusika na hali hiyo na kubakwa na wengine kuchukuliwa viungo vya miili yao ikiwemo viungo vya sehemu za siri.
“Sasa hivi hakuna matukio ya mauaji yeyote ambayo yanaripotiwa mara kwa mara ni ‘machache’ wameachana na hayo mambo na mwaka huu tangu uanze hali imekuwa shwari kidogo.
Mkoa wa Shinyanga ni miongoni mwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa, ambayo inatajwa kuwa Wananchi wake wanaamini suala la ushirikika kama sehemu ya maendeleo kwa kiwango kikubwa kutokana na takwimu mbalimbali kutoka katika Ukanda huo.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
UJASIRIAMALI NI MKOMBOZI WA MAISHA..ARUSHA
Mkurugenzi wa mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bwana Joseph Mayagila Akifungua semina ya ujasiriamali iliyo...
Liberia kupatiwa dawa ya majaribio ya Ebola
Liberia imetangaza kuwa hivi karibuni itapokea dozi za dawa za majaribio ya kutibu ugonjwa wa Ebola kutoka Marekani, ambazo itazitumia kw...
CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WATEMBELEA VITUO VINNE VYA REDIO!!
Picha na Habari by:Emanueli onesmo ndanshau Wanachama wa Club ya Waandishi wa Habari na utangazaji (AJTC) katika Chuo cha Uandishi wa...
WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA WANAOUZA DAMU MAHOSPITALINI!!
Mtaalamu kutoka tume ya uchangiaji damu salama Nchini Bw.George Chambo akitoa utambulisho mfupi wa msafara aliofuatana nao. Kat...
KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA
ROONEY APEWA UNAHODHA WA ENGLAND. habari na YASINTA PETER Nahodha mpya wa England Wayne Rooney. Kocha mkuu wa ti...
(no title)
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari arusha wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya shoo ya pamoja katika maafali ya chuo katik...
MTOTO WA MAREHEMU TYSON "SONIA" ATOA WOSIA MZITO KUHUSU KIFO CHA BABA YAKE, SIKILIZA SAUTI YAKE HAPA
Juzi simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji ...
(no title)
Waraka wa Katiba wa CCM hadharani Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.PICHA|MAKTABA NA SIA MINJA CHANZO MWA...
WAJASIRIAMALI WADOGO KATIKA SOKO LA KWA MROMBO WAMELALAMIKIA UONGOZI WA SOKO HILO KUTOKANA MFUMUKO WA BEI.
(Kutoka kushoto ni mjariliamali MAMA ABDULY ak...
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI JIJINI ARUSHA LEO.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka l...
Powered by
Blogger
.
About Me
Unknown
View my complete profile
Blog Archive
▼
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
▼
April
(11)
AJALI YA BASI LA SUMRY YAUA 22 WAKIWEMO POLISI WAN...
Ukawa kuunguruma leo Zanzibar
Sudan Kusini kujadiliwa hatima yao kujiunga na EAC...
MELI YENYE ABIRIA 460 IMEZAMA KOREA KUSINI
KUHUSU BOMU LA ARUSHA POLISI WATANGAZA BINGO KWA A...
PAMOJA NA MAFURIKO YALIYOPO JIJINI DARESALAAM WATU...
TIZAMA HAPA Yaliyojiri katika Bunge la Katiba
PITIA HAPA KUJUA HATUA ZA MWISHO ZA MZEE GURUMO KA...
MZEE WA MIAKA 60 AUWAA KINYAMA KWA TUHUMA ZA USHIR...
HABARI ZA SHINYANGA: Wimbi la Mauaji ya Vikongwe S...
HABARI ZA IRINGA: WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA...
►
March
(31)
►
February
(67)
►
January
(5)
►
2013
(28)
►
December
(5)
►
November
(16)
►
October
(7)
Labels
BURUDANI
habari
habari ya kimataifa
habari ya kitaifa
HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA BUNGE
habari za kimataifa
i
KIJAMII
kitaifa
MICHEZO
Urembo ( fashion).
Blog Archive
▼
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
▼
April
(11)
AJALI YA BASI LA SUMRY YAUA 22 WAKIWEMO POLISI WAN...
Ukawa kuunguruma leo Zanzibar
Sudan Kusini kujadiliwa hatima yao kujiunga na EAC...
MELI YENYE ABIRIA 460 IMEZAMA KOREA KUSINI
KUHUSU BOMU LA ARUSHA POLISI WATANGAZA BINGO KWA A...
PAMOJA NA MAFURIKO YALIYOPO JIJINI DARESALAAM WATU...
TIZAMA HAPA Yaliyojiri katika Bunge la Katiba
PITIA HAPA KUJUA HATUA ZA MWISHO ZA MZEE GURUMO KA...
MZEE WA MIAKA 60 AUWAA KINYAMA KWA TUHUMA ZA USHIR...
HABARI ZA SHINYANGA: Wimbi la Mauaji ya Vikongwe S...
HABARI ZA IRINGA: WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA...
►
March
(31)
►
February
(67)
►
January
(5)
►
2013
(28)
►
December
(5)
►
November
(16)
►
October
(7)
Recent Posts
Unordered List
Download
0 comments:
Post a Comment