LAKE NATRON CLASS
  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

Wednesday, April 30, 2014

AJALI YA BASI LA SUMRY YAUA 22 WAKIWEMO POLISI WANNE...

1:59 AM    No comments


Basi la kampuni ya Sumry lenye namba za usajili, T 799 BET lililouwa watu 18 mkoani Singida.
Gari la polisi likiwa limepakia maiti zaidi ya kumi zikipelekwa hospitali ya mkoa wa Singida kwa ajili ya kuhifadhiwa na kutambuliwa.
Moja ya maiti ya ajali ya basi la Sumry iliyotokea katika kijiji cha Utaho, Wilayani Ikungi mkoani Singida ikisubiri kupakiwa katika gari la polisi.
WATU 22wa kijiji cha Utaho, wilayani Ikungi mkoani Singida wamepoteza maisha wakiwemo askari wanne wa jeshi la polisi, baada ya kugongwa na basi la Summry wakati wakiwa wanatoa msaada wa kumpakia marehemu kwenye gari la polisi aliyegongwa na gari kubwa ambalo halikufahamika mara moja jana usiku.
Basi hilo la kampuni ya Sumry hufanya safari zake kati ya Kigoma na Dar-es-Salaam.
Dereva wa basi hilo alikimbia mara tu na baada ya ajali hiyo na kulitekeleza basi hilo.
Mwandishi wa habari wa ITV alifika na kuwakuta wasafiri walionusurika wakiwa  katika kituo cha polisi cha Ikungi bila ya kujua hatima yao ya  safari baada ya basi lao kuwakanyaga na kuuwa watu 22

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail
  • Popular
  • Tags
  • Blog Archives
  • UJASIRIAMALI NI MKOMBOZI WA MAISHA..ARUSHA
    Mkurugenzi wa mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bwana Joseph Mayagila Akifungua semina ya ujasiriamali iliyo...
  • Liberia kupatiwa dawa ya majaribio ya Ebola
    Liberia imetangaza kuwa hivi karibuni itapokea dozi za dawa za majaribio ya kutibu ugonjwa wa Ebola kutoka Marekani, ambazo itazitumia kw...
  • CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WATEMBELEA VITUO VINNE VYA REDIO!!
    Picha na Habari by:Emanueli onesmo ndanshau Wanachama wa Club ya Waandishi wa Habari na utangazaji (AJTC) katika Chuo cha Uandishi wa...
  • WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA WANAOUZA DAMU MAHOSPITALINI!!
    Mtaalamu  kutoka tume ya uchangiaji damu salama Nchini Bw.George Chambo akitoa utambulisho mfupi wa msafara aliofuatana nao. Kat...
  • KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA
    ROONEY APEWA UNAHODHA WA ENGLAND.  habari na YASINTA PETER Nahodha mpya wa England Wayne Rooney. Kocha mkuu wa ti...
  • (no title)
    wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari arusha wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya shoo ya pamoja katika maafali  ya chuo katik...
  • MTOTO WA MAREHEMU TYSON "SONIA" ATOA WOSIA MZITO KUHUSU KIFO CHA BABA YAKE, SIKILIZA SAUTI YAKE HAPA
    Juzi  simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji ...
  • (no title)
    Waraka wa Katiba wa CCM hadharani Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.PICHA|MAKTABA  NA SIA MINJA CHANZO MWA...
  • WAJASIRIAMALI WADOGO KATIKA SOKO LA KWA MROMBO WAMELALAMIKIA UONGOZI WA SOKO HILO KUTOKANA MFUMUKO WA BEI.
    (Kutoka kushoto ni mjariliamali MAMA ABDULY ak...
  • MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI JIJINI ARUSHA LEO.
      Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka l...
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2014 (183)
    • ►  October (2)
    • ►  September (17)
    • ►  August (22)
    • ►  July (9)
    • ►  June (19)
    • ▼  April (11)
      • AJALI YA BASI LA SUMRY YAUA 22 WAKIWEMO POLISI WAN...
      • Ukawa kuunguruma leo Zanzibar
      • Sudan Kusini kujadiliwa hatima yao kujiunga na EAC...
      • MELI YENYE ABIRIA 460 IMEZAMA KOREA KUSINI
      • KUHUSU BOMU LA ARUSHA POLISI WATANGAZA BINGO KWA A...
      • PAMOJA NA MAFURIKO YALIYOPO JIJINI DARESALAAM WATU...
      • TIZAMA HAPA Yaliyojiri katika Bunge la Katiba
      • PITIA HAPA KUJUA HATUA ZA MWISHO ZA MZEE GURUMO KA...
      • MZEE WA MIAKA 60 AUWAA KINYAMA KWA TUHUMA ZA USHIR...
      • HABARI ZA SHINYANGA: Wimbi la Mauaji ya Vikongwe S...
      • HABARI ZA IRINGA: WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA...
    • ►  March (31)
    • ►  February (67)
    • ►  January (5)
  • ►  2013 (28)
    • ►  December (5)
    • ►  November (16)
    • ►  October (7)

Labels

  • BURUDANI
  • habari
  • habari ya kimataifa
  • habari ya kitaifa
  • HABARI ZA BIASHARA
  • HABARI ZA BUNGE
  • habari za kimataifa
  • i
  • KIJAMII
  • kitaifa
  • MICHEZO
  • Urembo ( fashion).

Blog Archive

  • ▼  2014 (183)
    • ►  October (2)
    • ►  September (17)
    • ►  August (22)
    • ►  July (9)
    • ►  June (19)
    • ▼  April (11)
      • AJALI YA BASI LA SUMRY YAUA 22 WAKIWEMO POLISI WAN...
      • Ukawa kuunguruma leo Zanzibar
      • Sudan Kusini kujadiliwa hatima yao kujiunga na EAC...
      • MELI YENYE ABIRIA 460 IMEZAMA KOREA KUSINI
      • KUHUSU BOMU LA ARUSHA POLISI WATANGAZA BINGO KWA A...
      • PAMOJA NA MAFURIKO YALIYOPO JIJINI DARESALAAM WATU...
      • TIZAMA HAPA Yaliyojiri katika Bunge la Katiba
      • PITIA HAPA KUJUA HATUA ZA MWISHO ZA MZEE GURUMO KA...
      • MZEE WA MIAKA 60 AUWAA KINYAMA KWA TUHUMA ZA USHIR...
      • HABARI ZA SHINYANGA: Wimbi la Mauaji ya Vikongwe S...
      • HABARI ZA IRINGA: WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA...
    • ►  March (31)
    • ►  February (67)
    • ►  January (5)
  • ►  2013 (28)
    • ►  December (5)
    • ►  November (16)
    • ►  October (7)

Recent Posts

Unordered List

Download

 
  • Labels

    • BURUDANI
    • habari
    • habari ya kimataifa
    • habari ya kitaifa
    • HABARI ZA BIASHARA
    • HABARI ZA BUNGE
    • habari za kimataifa
    • i
    • KIJAMII
    • kitaifa
    • MICHEZO
    • Urembo ( fashion).
  • Text Widget

  • Pages

    • Home
Copyright © LAKE NATRON CLASS | Powered by Blogger
Design by FThemes | Blogger Theme by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com
NewBloggerThemes.com