Home
Business
Internet
Market
Stock
Downloads
Dvd
Games
Software
Office
Parent Category
Child Category 1
Sub Child Category 1
Sub Child Category 2
Sub Child Category 3
Child Category 2
Child Category 3
Child Category 4
Featured
Health
Childcare
Doctors
Uncategorized
Saturday, November 9, 2013
WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WAWASILI NCHINI.
8:22 PM
No comments
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwakaribisha miongoni mwa wawekezaji 65 kutoka taasisi ya Flanders Investiment & Trade ya nchini Ubeligiji waliowasili leo mchana kwa ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways kwa ajili ya kuja kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania wawekezaji hao wamekuja nchini kwa juhudi kubwa za balozi Dr. Diodorus Kamala anazofanya nchini humo kama mwakilishi rasmi wa nchi ya Tanzania
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiongozana na kiongozi wa wawekezaji hao Bw. Malin kushoto ni Bw Hassan mmoja wa waratibu wa ujio wa wawekezaji hao.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwaongoza wekezaji hao ambao watakuwa na mkutano wawekezaji wa hapa nchini pia.
Wawekezaji hao wakisubiri usafiri tayari kwa kuelekea kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akifafanua jambo kwa wawekezaji hao
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akihojiwa na waandishi wa habari kutoka kituo cha ITV ambao walifika katika mapokezi hayo.
POSTED BY:Emanuel O.Ndanshau
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
MATOKEO YA DARASA LA SABA HAYA HAPA!!
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2013 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
TANZANIA NA BURUNDI ZAIMARISHA ALAMA ZA MIPAKA YAKE.....
Shughuli ya kuweka alama mpya ya mpaka kati ya Tanzania na Burundi inaendelea, ambapo nchi hizo mbili jirani zinapima na kuweka mawe ya k...
(no title)
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari arusha wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya shoo ya pamoja katika maafali ya chuo katik...
UJASIRIAMALI NI MKOMBOZI WA MAISHA..ARUSHA
Mkurugenzi wa mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bwana Joseph Mayagila Akifungua semina ya ujasiriamali iliyo...
WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA WANAOUZA DAMU MAHOSPITALINI!!
Mtaalamu kutoka tume ya uchangiaji damu salama Nchini Bw.George Chambo akitoa utambulisho mfupi wa msafara aliofuatana nao. Kat...
KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA
ROONEY APEWA UNAHODHA WA ENGLAND. habari na YASINTA PETER Nahodha mpya wa England Wayne Rooney. Kocha mkuu wa ti...
CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WATEMBELEA VITUO VINNE VYA REDIO!!
Picha na Habari by:Emanueli onesmo ndanshau Wanachama wa Club ya Waandishi wa Habari na utangazaji (AJTC) katika Chuo cha Uandishi wa...
POLISI WAZUIA MKUTANO CHADEMA, WARUHUSU CCM
BAADHI ya wananchi wa Mji wa Mombo wamedai, hawajafurahishwa na Jeshi la Polisi mjini hapa, kuzuia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Ma...
ziwa natron
ziwa natron laonekana kuwa na ndege wa asili wengi sana wakiwa ni vivutio vikubwa katika utali wa ndan wa nchi yetu hinyo ni vinzuri...
ONA WANAFUNZI WA ST. ANNE MARIE BONGO WALIVYOHARIBU MALI ZA SHULE YAO ONA HAPA LIVE!!
Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu m...
Powered by
Blogger
.
About Me
Unknown
View my complete profile
Blog Archive
►
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
►
April
(11)
►
March
(31)
►
February
(67)
►
January
(5)
▼
2013
(28)
►
December
(5)
▼
November
(16)
WANASHERIA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KENYA...
MKUTANO WAKUONYESHA MAHUSIANO YA KIJAMII KATI YA M...
WANAHABARI WAHASWA KUEPUKA UKIMWI.
AWALIPUA SPIKA MAKINDA, NDUGAI.
NIYONZIMA ACHUKUA TUZO TATU TUZO ZA MWANASPOTI 201...
WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WAWASILI NCHINI.
CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA W...
TAARIFA MAALUM KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA ELIMU NA ...
SUGU KUKUSANYA SAINI ZA WABUNGE KUZUIA MAGAZETI YA...
JANUARY MAKAMBA: NATAFAKARI URAIS 2015!!
MKANGANYIKO WAIBUKA KUHUSIANA NA MALIPO YA ADA CHU...
Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya...
MUSEVENI AISHANGAA TANZANIA.
MATOKEO YA DARASA LA SABA HAYA HAPA!!
WALIOLIPUA BOMU MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA WAYEYUKA!!
FUATILIA RATIBA YA LIGI KUU YA UINGEREZA LEO JUMAM...
►
October
(7)
Labels
BURUDANI
habari
habari ya kimataifa
habari ya kitaifa
HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA BUNGE
habari za kimataifa
i
KIJAMII
kitaifa
MICHEZO
Urembo ( fashion).
Blog Archive
►
2014
(183)
►
October
(2)
►
September
(17)
►
August
(22)
►
July
(9)
►
June
(19)
►
April
(11)
►
March
(31)
►
February
(67)
►
January
(5)
▼
2013
(28)
►
December
(5)
▼
November
(16)
WANASHERIA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KENYA...
MKUTANO WAKUONYESHA MAHUSIANO YA KIJAMII KATI YA M...
WANAHABARI WAHASWA KUEPUKA UKIMWI.
AWALIPUA SPIKA MAKINDA, NDUGAI.
NIYONZIMA ACHUKUA TUZO TATU TUZO ZA MWANASPOTI 201...
WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WAWASILI NCHINI.
CLUB YA WAANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA W...
TAARIFA MAALUM KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA ELIMU NA ...
SUGU KUKUSANYA SAINI ZA WABUNGE KUZUIA MAGAZETI YA...
JANUARY MAKAMBA: NATAFAKARI URAIS 2015!!
MKANGANYIKO WAIBUKA KUHUSIANA NA MALIPO YA ADA CHU...
Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya...
MUSEVENI AISHANGAA TANZANIA.
MATOKEO YA DARASA LA SABA HAYA HAPA!!
WALIOLIPUA BOMU MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA WAYEYUKA!!
FUATILIA RATIBA YA LIGI KUU YA UINGEREZA LEO JUMAM...
►
October
(7)
Recent Posts
Unordered List
Download
0 comments:
Post a Comment