NICE MEDIA WORKS

KWA WAIMBAJI WA INJILI

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, October 31, 2013

SIMBA YAMWAGA POINTI, SARE NA KAGERA, MASHABIKI VURUGU TUPU!!

PENATI DAKIKA ZA MAJERUHI YAWAKATA MAINI SIMBA!!!

ALHAMISI: JKT RUVU v YANGA, JE YANGA KUKWAA KILELENI?
VPL_2013-14_LOGO-NEWLEO Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam uligeuka vurugu tupu mara baada ya Kagera Sugar kusawazisha Bao kwa Penati katika Dakika za Majeruhi na Mashabiki kung’oa Viti na kuvitupa Uwanjani hali ambayo iliwalazimu Polisi kufyatua Mabomu ya Machozi.

SERIKALI YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA ALAMA ZA UFAULU ELIMU YA SEKONDARI!!

a_97eff.jpg
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome akifafanua kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya upangaji wa viwango vya alama, matumizi ya alama endelevu ya mwanafunzi na ufaulu leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Kamishna wa Elimu Profesa Eustella Bhalasesa.

Tuesday, October 29, 2013

CAPITAL ONE CUP: ARSENAL NJE, CHELSEA, MAN UNITED ZIPO ROBO FAINALI!


 ROBO FAINALI KUFANYIKA JUMATANO USIKU!!
CHELSEA imeitwanga Arsenal waliokuwa kwao Emirates Bao 2-0 na kutinga Robo Fainali yaCAPITAL_ONE_CUP-BESTCAPITAL ONE CUP pamoja na Manchester United ambao waliwatandika Norwich City Bao 4-0 Uwanjani Old Trafford.
Timu nyingine ambazo zimetinga Robo Fainali baada ya kushinda ni West Ham na Licester City.
Mechi kato ya Birmingham na Stoke City ilikuwa Sare ya Bao 3-3 katika Dakika 90 na ikaingia kwenye Dakika 30 za Nyongeza na Matokeo kuwa 4-4 lakini Stoke City wamesonga kwa Penati 4-2.

SAMSON MWIGAMBA AMWAGA VIELELEZO KUTHIBITISHA MADAI YAKE .... MBOWE, LEMA NA MNYIKA WAMESHIKWA PABAYA ... RIPOTI KAMILI HII HAPA!!


SAMSON MWIGAMBA
Kwa siku za karibuni, umezuka mjadala mkali ndani ya mtandao huu pendwa hasa baada ya Samson Mwigamba ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha kuwatuhumu viongozi wa kitaifa wa CHADEMA kuwa wamebadilisha katiba kinyemela kwa kuondoa ukomo wa uongozi wa awamu mbili ili waendelee kubaki madarakani. Mwigamba ametoa shutuma hizo akitumia jina bandia la Maskini Mkulima. Katika shutuma zake Mwigamba amesema yafuatayo;

KATIBA MOTO TENA BUNGENI:::Kura ya maoni, muswada uliosainiwa kutikisa BUNGE!!


Spika wa Bunge,Anne Makinda
Mkutano wa 13 wa Bunge unaanza leo mjini hapa, huku suala la Katiba ya mpya ya Tanzania ambayo mchakato wa mabadiliko yake unaendelea, likitarajia kuutawala na kuwagawa wabunge kwa mara nyingine. 
Hali hiyo inatarajiwa kujitokeza iwapo serikali itatekeleza makubaliano yaliyofikiwa kati ya kamati yake na ile ya vyama vya siasa ya kuurudisha bungeni Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa Mwaka 2013 kwa hati ya dharura, ili kutoa fursa kwa wabunge kujadili mapendekezo ya kuuboresha. 

Monday, October 28, 2013

NATRON CLASS YAFUNGUA BLOG YAO

DARASA  la Lake Natron kutoka chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha (AJTC) wamefungua blog yao kwa lengo la kuhabarisha,kuelimisha,na kuburudisha jamiii.

Fuatilia picha zao:
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la Natron wakifanya mazoezi ya vitendo  katika somo la online journalism.


Picha na habari by Emanuel Ndanshau