NICE MEDIA WORKS

KWA WAIMBAJI WA INJILI

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, February 14, 2014

Mgomo wa EFD waisha

Na Mariam George
 
]Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi ya mashine za kielektroniki za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), jijini Dar es salaam, juzi. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu  

 Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imetangaza kusitisha mgomo wa wafanyabiashara uliodumu kwa takriban siku tano kupinga notisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya kuwapa siku 14 za kufunga Mashine za Elektroniki za Kutoza Kodi (EFD).

Mvua yaua,watu 300 hawana makazi

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatius Makunga.

Mtu mmoja amefariki na wengine zaidi ya 300 hawana mahali pa kuishi katika Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kubomoa nyumba zao.
 

Mbali na hasara hiyo, mvua hizo iliyonyesha kwa takribani siku nne sasa, pia zimeharibu vibaya zaidi ya ekari 60 za mazao ya chakula.
Familia hizo kwa sasa zinaishi kwa kutegemea hisani kutoka kwa wasamaria wema.

 

Habari zilizopatikana jana na baadaye kuthibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatius Makunga, zilileza kuwa tayari serikali kupitia Ofisi
ya Waziri Mkuu Kitengo cha Maafa, kimetoa msaada wa chakula tani 1.5 kwa ajili ya kuhudumia waathirika wa tukio hilo.

Monday, February 3, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA MKOANI KILIMANJARO



Leo ni Law Day, tunamsubiri mgeni Rasmi
Wanasheria wakimsubiri Mgeni Rasmi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akiongoza Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.

ONA WANAFUNZI WA ST. ANNE MARIE BONGO WALIVYOHARIBU MALI ZA SHULE YAO ONA HAPA LIVE!!

 Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya wanafunzi kuvamia maeneo mbalimbali ya shule hiyo alfajiri ya kuamkia leo majira ya saa nane usiku na kufanya uiharibifu hio na kuvunja vinja vioo vya majengo na magari.

Chelsea yailaza Manchester City


Bao la ushindi na Ivanovi
Manchester City ilikuwa imeshinda mechi zote 11 ilizokuwa imecheza nyumbani kabla ya kukutana na Chelsea.
Kadhalika hii ndiyo imekuwa mara ya kwanza Manchester City kushindwa kufunga bao katika mechi za nyumbani tangu mwaka 2010.
Bao la Chelsea lilifungwa na Branislav Ivanovic katika kipindi cha kwanza .
Kocha Pellegrini wa ManCity
Kutokana na mechi hiyo Manchester City na Chelsea zina alama sawa lakini Mancity imefunga mabao mengi.
Liverpool iko katika nambari ya nne, Everton ni ya tano ilhali Tottenham ni sita huku Manchester United ikishikilia nafasi ya saba.
CHANZO:BBC
POSTED BY:Nasra Kimaro

Saturday, February 1, 2014

MWENYEKITI WA CCM,RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI JIJINI MBEYA JIONI YA LEO TAYARI KWA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM KESHO.

 Mwenyekiti wa  CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia Viongozi mbalimbali wa chama,Serikali,viongozi wa dini na watu mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kumpokea mara baada kuwasili jioni ya leo kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe  tayari kwa kuongoza maadhimisho ya sherehe za miaka 37 ya chama hicho yatakayofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine mjini humo. 

LIGI KUU ENGLAND :FUATILIA MCHEZO KATI YA STOKE CITY WALIVYOICHAPA MAN UTD LEO!!

Stoke 2-1 Manchester United: 

Jubilant: Charlie Adam (centre) celebrates with Mark Hughes after his two goals ended Stoke's run of six matches without a win
Jubilant: Charlie Adam (centre) celebrates with Mark Hughes after his two goals ended Stoke's run of six matches without a win