NICE MEDIA WORKS

KWA WAIMBAJI WA INJILI

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, January 30, 2014

MCHAKATO WA UCHAMBUZI WA RASIMU YA KATIBA WAENDELEA KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA (AJTC)




Baada ya Rasimu mpya ya katiba ya kwanza kukakamilika katika chuo  cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha(A.J.T.C) wanafunzi waunga mkono wakati wa maswali ya papo kwa hapo yaliyokuwa yakiulizwa na wanafunzi na kujibiwa na mwenyekiti wa tume ya katiba hiyo Bw Oscar Samba. 

Wednesday, January 29, 2014

Taarifa ya CHADEMA kulaumu mwenendo wa kampeni za uchaguzi mdogo Kiembesamaki!!


REF.CDM./HO/ZNZ/VOL .2.07/2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

YAH: MWENENDO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KIEMBESAMAKI WILAYA YA MAGHARIBI UNGUJA 
CHADEMA kimezindua kampeni zake tarehe 21/01/2014 katika viwanja vya matrekta mbweni, za kumnadi mgombea wake wa uwakilishi jimbo la kiembesamaki katika uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 02/02/2014.

Tuesday, January 28, 2014

ARSENAL YANASA KWA ‘WATAKATIFU’, MATA ALETA USHINDI OLD TRAFFORD, LIVERPOOL YAIFUMUA EVERTON!



LIGI KUU ENGLAND
MATOKEO:BPL2013LOGO
Jumanne Januari 28
Man United 2 Cardiff 0
Norwich 0 Newcastle 0
Southampton 2 Arsenal 2
Swansea 2 Fulham 0
Crystal Palace 1 Hull 0
Liverpool 4 Everton 0

MAN UNITED 2 CARDIFF 0
Mchezaji mpya, Juan Mata, alianza Mechi yake ya kwanza kwa Man United na kuanzisha muvu iliyozaa Bao la kwanza Mfungaji akiwa Robin van Persie aliekuwa akicheza Mechi yake ya kwanza tangu Desemba 1o alipoumia.
Bao la Pili lilifungwa vizuri sana na Ashley Young na kuipa Man United ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya Cardiff City ambayo Meneja wao mpya, Ole Gunnar Solksjaer, Nguli wa Man united, alipokewa vizuri na Mashabiki wa Old Trafford.
VIKOSI:
Man United: De Gea; Rafael, Smalling, Evans, Evra; Valencia, Jones, Giggs, Young; Mata, van Persie
Akiba: Lindegaard, Cleverley, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Hernandez, Rooney.
Cardiff: Marshall, Caulker, Hudson, John, McNaughton, Medel, Whittingham, Noone, Mutch, Bellamy, Campbell.
Refa: Craig Pawson

NORWICH 0 NEWCASTLE 0
VIKOSI:
Norwich: Ruddy; Martin, R Bennett, Bassong, Olsson; Snodgrass, Fer, Johnson, Pilkington; van Wolfswinkel, Hooper.
Newcastle: Krul; Debuchy, S.Taylor, Williamson, Santon; Tiote, Sissoko, Anita; Ben Arfa, Remy, Sammy Ameobi.
Refa: Chris Foy

SOUTHAMPTON 2 ARSENAL 2
Vinara wa Ligi, Arsenal, walinasa kuendelea kupaa juu kileleni baada ya kutoka Sare ya Bao 2-2 na Southampton ambao ndio walitangulia kufunga katika Dakika ya 21 kwa Bao la Jose Fonte lililodumu hadi Mapumziko.
Kipindi cha Pili, Olivier Giroud aliisawazishia Arsenal katika Dakika ya 48 na Cazorla kupiga Bao la Pili kwa Arsenal.
Adam Lalallan aliipa Southampton Bao la kusawazisha katika Dakika ya 54 na Mechi kwisha 2-2 na Arsenal kumaliza Mtu 10 bbada Kiungo wao Mathieu Flamini kulambwa Kadi Nyekundu Dakika ya 80 kwa rafu mbaya.
VIKOSI:
Southampton: Boruc, Chambers, Fonte, Yoshida, Shaw, Cork, Schneiderlin, S. Davis, Lallana, Rodriguez, Gallagher.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Flamini, Ozil, Cazorla, Gnabry, Giroud
Refa: Lee Mason

SWANSEA 2 FULHAM 0
Bao za Jonjo Shelvey na Chico zimewapa ushindi wa Bao 2-0 walipoibamiza Fulham.
VIKOSI:
Swansea: Tremmel, Rangel, Chico, Williams, Davies, Britton, de Guzman, Shelvey, Routledge, Hernandez, Bony.
Fulham: Stekelenburg; Riether, Hangeland, Burn, Richardson; Dejagah, Parker, Sidwell, Kačaniklić; Dempsey; Berbatov
Refa: Michael Oliver.

CRYSTAL PALACE 1 HULL CITY 0
Crystal Palace wameifunga Hull City Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 16 la Puncheon.
VIKOSI:
Hull City: McGregor, Bruce, Davies, McShane, Rosenior, Elmohamady, Meyler, Huddlestone, Livermore, Jelavic, Long.
Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Gabbidon, Delaney, Moxey, Puncheon, Ward, Jedinak, Bolasie, Chamakh, Jerome.
Refa: Roger East

LIVERPOOL 4 EVERTON 0
Dabi ya Merseyside imemalizika kwa Liverpool kuwaumbua Watani zao Everton Uwanjani Anfield na kuwatandika Bao 4-0.
Hadi Mapumziko, Liverpool walikuwa mbele 3-0 kwa Mabao ya Gerrard, Sturridge, Bao 2, na Suarez kupiga la 4 Kipindi cha Pili.
VIKOSI:
Liverpool: Westerveld, Staunton, Hyypia, Carragher, Heggem, Berger, Hamann, Redknapp, Smicer, Owen, Fowler
Akiba: Henchoz, Meijer, Camara, Nielsen, Gerrard.
Everton: Gerrard, Ball, Gough, Dunne, Weir, Barmby, Collins, Hutchison, Xavier, Campbell, Jeffers
Akiba: Cleland, Gemmill, Ward, Johnson, Simonsen.

Refa: Martin Atkinson
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA YA LEO:

Jumatano Januari 29
2245 Aston Villa v West Brom
2245 Chelsea v West Ham
2245 Sunderland v Stoke
2245 Tottenham v Man City
MSIMAMO HADI MECHI ZA JANA:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
23
24
52
2
Man City
22
38
50
3
Chelsea
22
23
49
4
Liverpool
23
29
46
5
Tottenham
22
3
43
6
Everton
23
11
42
7
Man Utd
23
11
40
8
Newcastle
23
4
37
9
Spton
23
4
32
10
Swansea
23
-4
24
11
Aston Villa
22
-7
24
12
Norwich
23
-17
24
13
Hull
23
-7
23
14
Crystal
23
-16
23
15
West Brom
22
-5
22
16
Stoke
22
-14
22
17
Fulham
23
-28
19
18
West Ham
22
-11
18
19
Sunderland
22
-15
18
20
Cardiff
23
-23
18

Wednesday, January 15, 2014

DIVA, MCHOMVU, NA B12 WASIMAMISHWA KAZI KWA MUDA USIOJULIKANA CLOUDS FM!!


Hamis Mandi ‘B 12’.
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.
Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.


 
malezi bora kwa mtoto ni kuonesha upendo wakati wote